Lwaitama: Samia anaaminika vipi kesi ya Mbowe ikiendelea?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Maneno ya hekima na busara kutokea kwake Mwalimu Lwaitama:


Kwa hakika hayupo asiyejua kuwa kesi ya Mbowe ni ya kubumba.

"Sasa anapohitaji kuaminiwa, labda kama ni kuaminiwa anataka kumnyazisha Mh. Mbowe?" -- Lwaitama.

Barikiwa sana Mwalimu Lwaitama. Hekima na busara zako ni inspirational.

Tutafika tu.
 
Wakombozi wa nchi tulieni!

Si mnapumua nyie? Baada ya kuonewa sana kwa miaka 5?

"Hakika yule jamaa alikuwa katili sana. Juzi nlikutana na mtu aliemtuma kwenda kuchoma nyumba yangu kigoma na mikorosho kule mtwara!
Mungu amelikomboa taifa kwa kumuondoa yule jamaa bila kumwaga damu."

Sasa tunapumua,
Vitu bei chini, kodi chini, mafuta bei ya kutupwa, mishahara juu, maisha kama ulaya!

Wakombozi wa nchi ya nyoko!
 
Udikiteta wa Iddi Amin haumfanyi Museven kuwa Mtakatifu.
 
Yule alikuwa muovu fullstop
 
Hii club house ni zaidi ya Bunge
 
Wanasaccos ya kichaga wakiwa hawaamini gaidi Christmas hii ana nyea debe [emoji23][emoji1787]
 
Mbowe atafungwa Kwa ugaidi wake

Kwenye mkutano wa Msajili na wadau wa Siasa kulitamkwa tatizo "heshima" si ugaidi 😁😁.

Mtaimaliza misamiati yote ila mtarejea pale pale: #mbowesigaidi.
 
Kwenye mkutano wa Msajili na wadau wa Siasa kulitamkwa tatizo "heshima" si ugaidi [emoji16][emoji16].

Mtaimaliza misamiati yote ila mtarejea pale pale: #mbowesigaidi.
Porojo Tu hizi mmemlisha zito uongo mmeumbuka ni Bora hao magaidi yanyongwe
 
Eti Rais ana nia njemaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…