mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi.
Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni jambo Zuri kusifia Kwa kuweka facts zako ila sasa kupitia hii comment yake
Huu ni udhaifu mkubwa sana anaouonyesha Msigwa. Anaongea maoni yake, mwingine ana ya kwake, wengine wana ya kwao. Sasa kuna dhambi katika kutofautiana misimamo ikiwa kila mmoja yupo unique na ana namna yake ya kuyaangalia mambo? Mwingine ataona linafaa mwingine aone siyo, tunatofautiana Kwa hoja na kusonga mbele zaidi . Na jiuliza
Kwani Chama chake kimetoa msimamo hadi akimbilie kusema hahofii kuitwa kwenye kikao cha Maadili cha Chama?
Huwa ana mawazo mazuri sana, ila kila nikimuangalia hivi sasa, kuna dhamira yupo nayo kwasasa ambayo ipo known only to him, ambayo inanilazimisha kusema kuwa there is something wrong na huyu jamaa
Lwaitama