Lwaitama: Sishangai Msigwa kumsifia Rais wa nchi hasa wa CCM

Lwaitama: Sishangai Msigwa kumsifia Rais wa nchi hasa wa CCM

mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi.
Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni jambo Zuri kusifia Kwa kuweka facts zako ila sasa kupitia hii comment yake

View attachment 2205118
Huu ni udhaifu mkubwa sana anaouonyesha Msigwa. Anaongea maoni yake, mwingine ana ya kwake, wengine wana ya kwao. Sasa kuna dhambi katika kutofautiana midimamo ikiwa kila mmoja yupo unique na ana namna yake ya kuyaangalia mambo?
Kwani Chama chake kimetoa msimamo hadi akimbilie kusema hahofii kuitwa kwenye kikao cha Maadili cha Chama?
Huwa ana mawazo mazuri sana, ila kila nikimuangalia hivi sasa, kuna dhamira yupo nayo kwasasa ambayo ipo known only to him, ambayo inanilazimisha kusema kuwa there is something wrong na huyu jamaa


Lwaitama

Huyo Msigwa ana muda sasa anatoa maoni tofauti na chama chake, kisha anasema hahofii kufukuzwa chama! Wakati wa Magufuli alitolewa mpaka gerezani na ni mmoja waliokuwa waunge mkono juhudi, ni kama anataka kumalizia biashara baada ya kuwa compromised. Sasa anawaprovoke cdm ili wamfukuze aende ccm ionekane kama alifukuzwa. Hizo mbinu zake ni za kizamani kwelikweli. Yeye aende ccm tu hakuna mwenye shida naye.
 
KATIBA mpya itatatua Hilo, sisi wenye Nchi lazima tuvielekeze vyama vyote kuungana pamoja ktk kila HOJA yenye maslah mapana ya NCHI.
Sisi wenye nchi!!andiko kubwa Sana Hilo!Bila shaka unakunywa kahawa kabisa na FDR!!na anakutambua WEWE ni nani!!
 
Laitwama mtata Sana Kuna siku kaniomba lift kwenda kwake majumba 20 Changanyikeni alafu kaanza nifokea nadhan huyu jamaa ni psychiatric fulani na analipa wanae mishahara while still students bythen 2006
Hahahaa! hiyo ya kulipa mishahara wanae,nimewahi kusikia.
 
Back
Top Bottom