Lwaitama: Sishangai Msigwa kumsifia Rais wa nchi hasa wa CCM

mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi.
Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni jambo Zuri kusifia Kwa kuweka facts zako ila sasa kupitia hii comment yake

View attachment 2205118
Huu ni udhaifu mkubwa sana anaouonyesha Msigwa. Anaongea maoni yake, mwingine ana ya kwake, wengine wana ya kwao. Sasa kuna dhambi katika kutofautiana misimamo ikiwa kila mmoja yupo unique na ana namna yake ya kuyaangalia mambo? Mwingine ataona linafaa mwingine aone siyo, tunatofautiana Kwa hoja na kusonga mbele zaidi . Na jiuliza
Kwani Chama chake kimetoa msimamo hadi akimbilie kusema hahofii kuitwa kwenye kikao cha Maadili cha Chama?
Huwa ana mawazo mazuri sana, ila kila nikimuangalia hivi sasa, kuna dhamira yupo nayo kwasasa ambayo ipo known only to him, ambayo inanilazimisha kusema kuwa there is something wrong na huyu jamaa

Lwaitama
Lwaitama kanena vizuri mno.Kuwa ni haki ya Msigwa kutoa maoni na mtizamo wake , lakini Mimi kama Dr. Lwaitama sijaona sababu ya yeye kusema haogopi kuitwa na kamati kuu utazani CDM wametoa msimamo wa jambo hilo nijuavyo CDM hawajatoa msimamo wowote kuhusu jambo hili na nazani hawatatoa kabisa kwani kwa maoni yangu hawana sababu ya kufanya hivyo.Sasa iwe je? Msigwa ajihofie?? Muda utasema yaliyo nyuma ya pazia.
 
Hata msigwa akihama chama aendee tuuu, ilimladiii tuna tunabaki na kamanda mdude nyagalii
 
Ameshadharaulika sana. Na mchumia matumbo mkubwa anajulikana kwa haya madhaifu alipokuwa bungeni hasa kwenye kamati ya kudumu ya bunge ya maliasili utalii na Mazingira. Hafai na anaenda kuwaharibia, atawachafua kabisa.
👇
Screenshot_20220429-211049.jpg
 
Lwaitama kanena vizuri mno.Kuwa ni haki ya Msigwa kutoa maoni na mtizamo wake , lakini Mimi kama Dr. Lwaitama sijaona sababu ya yeye kusema haogopi kuitwa na kamati kuu utazani CDM wametoa msimamo wa jambo hilo nijuavyo CDM hawajatoa msimamo wowote kuhusu jambo hili na nazani hawatatoa kabisa kwani kwa maoni yangu hawana sababu ya kufanya hivyo.Sasa iwe je? Msigwa ajihofie?? Muda utasema yaliyo nyuma ya pazia.
Exactly
 
mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi.
Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni jambo Zuri kusifia Kwa kuweka facts zako ila sasa kupitia hii comment yake

View attachment 2205118
Huu ni udhaifu mkubwa sana anaouonyesha Msigwa. Anaongea maoni yake, mwingine ana ya kwake, wengine wana ya kwao. Sasa kuna dhambi katika kutofautiana misimamo ikiwa kila mmoja yupo unique na ana namna yake ya kuyaangalia mambo? Mwingine ataona linafaa mwingine aone siyo, tunatofautiana Kwa hoja na kusonga mbele zaidi . Na jiuliza
Kwani Chama chake kimetoa msimamo hadi akimbilie kusema hahofii kuitwa kwenye kikao cha Maadili cha Chama?
Huwa ana mawazo mazuri sana, ila kila nikimuangalia hivi sasa, kuna dhamira yupo nayo kwasasa ambayo ipo known only to him, ambayo inanilazimisha kusema kuwa there is something wrong na huyu jamaa

Lwaitama
NJAA MBAYA
 
Msigwa mtu wa ajabu Sana. Kama aliweza kuvumilia kipindi Cha Magu leo mbona anataka kujiuza kirahisi hivyo!
 
Hahahahahahahahahahhaaahaahaha......
Umekosea nini hadi akufokee mkuu....

Si ungemshusha njiani ..!!

Hahahahhhhhahahahahahahah ..
Duh!!
Yaani nilijuta mkuu naomba lift utadhani kakodi gari nikampeleka Hadi mlangoni kwake du! nilikuwa simtambui baada ya siku kadhaa namwona ktk midahalo nikajua kweli mtata
 
Laitwama mtata Sana Kuna siku kaniomba lift kwenda kwake majumba 20 Changanyikeni alafu kaanza nifokea nadhan huyu jamaa ni psychiatric fulani na analipa wanae mishahara while still students bythen 2006
Chadema wengi wapo hivyo.
 
mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi.
Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni jambo Zuri kusifia Kwa kuweka facts zako ila sasa kupitia hii comment yake

View attachment 2205118
Huu ni udhaifu mkubwa sana anaouonyesha Msigwa. Anaongea maoni yake, mwingine ana ya kwake, wengine wana ya kwao. Sasa kuna dhambi katika kutofautiana misimamo ikiwa kila mmoja yupo unique na ana namna yake ya kuyaangalia mambo? Mwingine ataona linafaa mwingine aone siyo, tunatofautiana Kwa hoja na kusonga mbele zaidi . Na jiuliza
Kwani Chama chake kimetoa msimamo hadi akimbilie kusema hahofii kuitwa kwenye kikao cha Maadili cha Chama?
Huwa ana mawazo mazuri sana, ila kila nikimuangalia hivi sasa, kuna dhamira yupo nayo kwasasa ambayo ipo known only to him, ambayo inanilazimisha kusema kuwa there is something wrong na huyu jamaa

Lwaitama
Anarudi nyumbani, dalili ya mvua ni mawingu.
 
Laitwama mtata Sana Kuna siku kaniomba lift kwenda kwake majumba 20 Changanyikeni alafu kaanza nifokea nadhan huyu jamaa ni psychiatric fulani na analipa wanae mishahara while still students bythen 2006
Ielezee vizuri.
 
Huyo huyo
Keshachoka anarudi zake nyumbani, maana hicho chama alicho ni cha familia fulani, na hawakubali kuachia hata kwa mtalimbo. Kwa maana nyingine ni kuwa wamebania, kutanua mwiko.
 
Lwaitama kanena vizuri mno.Kuwa ni haki ya Msigwa kutoa maoni na mtizamo wake , lakini Mimi kama Dr. Lwaitama sijaona sababu ya yeye kusema haogopi kuitwa na kamati kuu utazani CDM wametoa msimamo wa jambo hilo nijuavyo CDM hawajatoa msimamo wowote kuhusu jambo hili na nazani hawatatoa kabisa kwani kwa maoni yangu hawana sababu ya kufanya hivyo.Sasa iwe je? Msigwa ajihofie?? Muda utasema yaliyo nyuma ya pazia.
Jibu ni rahisi kabisa, keshakichoka hicho chama ambacho yupo. Siku yoyote atarudisha kadi.
 
Hata msigwa akihama chama aendee tuuu, ilimladiii tuna tunabaki na kamanda mdude nyagalii
Sasa huyo ana sera gani za kukipaisha chama zaidi ya kufyatua matusi kwenye mitandao.
 
Inaonesha kipindi cha utawala wa jpm makamanda walipigwa marufuku kusifia mazuri yote ya yule mwamba ndo kitu kinacho wacost mpaka sasa.
 
mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi.
Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni jambo Zuri kusifia Kwa kuweka facts zako ila sasa kupitia hii comment yake

View attachment 2205118
Huu ni udhaifu mkubwa sana anaouonyesha Msigwa. Anaongea maoni yake, mwingine ana ya kwake, wengine wana ya kwao. Sasa kuna dhambi katika kutofautiana misimamo ikiwa kila mmoja yupo unique na ana namna yake ya kuyaangalia mambo? Mwingine ataona linafaa mwingine aone siyo, tunatofautiana Kwa hoja na kusonga mbele zaidi . Na jiuliza
Kwani Chama chake kimetoa msimamo hadi akimbilie kusema hahofii kuitwa kwenye kikao cha Maadili cha Chama?
Huwa ana mawazo mazuri sana, ila kila nikimuangalia hivi sasa, kuna dhamira yupo nayo kwasasa ambayo ipo known only to him, ambayo inanilazimisha kusema kuwa there is something wrong na huyu jamaa

Lwaitama
kwani amefungwa kamba? kwa nini usibiri kufukuzwa? kwani nani amemwmabia kutoa maoni mtu unafukuzwa chama?
 
Back
Top Bottom