Lwaitama: Sishangai Msigwa kumsifia Rais wa nchi hasa wa CCM


Huyo Msigwa ana muda sasa anatoa maoni tofauti na chama chake, kisha anasema hahofii kufukuzwa chama! Wakati wa Magufuli alitolewa mpaka gerezani na ni mmoja waliokuwa waunge mkono juhudi, ni kama anataka kumalizia biashara baada ya kuwa compromised. Sasa anawaprovoke cdm ili wamfukuze aende ccm ionekane kama alifukuzwa. Hizo mbinu zake ni za kizamani kwelikweli. Yeye aende ccm tu hakuna mwenye shida naye.
 
KATIBA mpya itatatua Hilo, sisi wenye Nchi lazima tuvielekeze vyama vyote kuungana pamoja ktk kila HOJA yenye maslah mapana ya NCHI.
Sisi wenye nchi!!andiko kubwa Sana Hilo!Bila shaka unakunywa kahawa kabisa na FDR!!na anakutambua WEWE ni nani!!
 
Laitwama mtata Sana Kuna siku kaniomba lift kwenda kwake majumba 20 Changanyikeni alafu kaanza nifokea nadhan huyu jamaa ni psychiatric fulani na analipa wanae mishahara while still students bythen 2006
Hahahaa! hiyo ya kulipa mishahara wanae,nimewahi kusikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…