Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwenyekiti wa TLP Augustino Lyatonga Mrema, ameonekana kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Jijini Dodoma akiwa na Mkewe , ambapo baada ya kuingia alishangiliwa kwa nguvu na Wajumbe wa Mkutano huo, kiasi cha kukatiza hotuba ya Mwenyekiti wa ccm Samia Suluhu.
Bado haijafahamika kama Mrema amehudhuria Mkutano huo kama Mgeni mwalikwa, ama kama Mwana-CCM, Mwenyekiti wa TLP au amehudhuria kama sehemu ya fungate baada ya kufunga ndoa kabambe hivi karibuni.
Bado haijafahamika kama Mrema amehudhuria Mkutano huo kama Mgeni mwalikwa, ama kama Mwana-CCM, Mwenyekiti wa TLP au amehudhuria kama sehemu ya fungate baada ya kufunga ndoa kabambe hivi karibuni.