Lyatonga Mrema ahudhuria Mkutano Mkuu wa CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwenyekiti wa TLP Augustino Lyatonga Mrema, ameonekana kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Jijini Dodoma akiwa na Mkewe , ambapo baada ya kuingia alishangiliwa kwa nguvu na Wajumbe wa Mkutano huo, kiasi cha kukatiza hotuba ya Mwenyekiti wa ccm Samia Suluhu.

Bado haijafahamika kama Mrema amehudhuria Mkutano huo kama Mgeni mwalikwa, ama kama Mwana-CCM, Mwenyekiti wa TLP au amehudhuria kama sehemu ya fungate baada ya kufunga ndoa kabambe hivi karibuni.

 
Muda wa Mbowe kuhudhurua mkutano Mkuu CCM umewadia,aache kuwahadaa makamanda
 
Hivi huyu dada naye zinamtosha kweli?
 
Unaweza kukuta mke wa Mrema ni Chadema.

Wachaga tuna vituko sana bwashee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…