Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee pole aiseeMwenyekiti wa TLP amesema CCM na wasimamizi wa serikali za mitaa wamemchezea rafu, anasema mfano Moshi, mawakala wa chama chake wameondolewa kwenye vituo vya kupigia kura.
Ameonya kama hali ndo hii, kuna uwezekano wa kutokea machafuko huko mbeleni.
****
Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa ukiendekea katika kijiji cha Kiraracha, jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, mwenyekiti wa TLP, Agustino Lyatonga Mrema, amelalamika kufanyiwa hujuma na baadhi ya mawakala wake kuondolewa kwenye vituo.
Mrema ameyasema hayo leo wakati akizungumza kuhusu uchaguzi huo, ambapo amesema hatendewi haki licha ya kuwa na kijiji kimoja pekee.
Mrema ambaye anashiriki katika uchaguzi kwenye kijiji cha Kiraracha pekee ambako ndiko anakoishi, akichuana na CCM, amedai kuwa aliamua kushiriki uchaguzi huo ili kumsaidia Rais John Magufuli lakini hajatendewa haki.
"Hali ni mbaya, kwani mimi nilikuja kushiriki uchaguzi huu kwa nia njema kumsaidia Rais wangu kwa sababu walitaka kuonyesha kuwa hakuna utawala bora, watu walisusa na kugoma, mimi nikasema ingawa sina halmashauri nibaki na kijiji hiki kimoja."
Aliongeza, “nilisema ushindani uwe kwenye sanduku la kura, lakini haikutokea hivyo, magari yote ya serikali ya Moshi yamehamia Kiraracha, kuna mawakala wangu wametolewa kwenye vituo, hali ikiwa hivi nchi itaharibika."
Akizungumzia malalamiko hayo, msimamizu wa uchaguzi Moshi Vijijini, Juma Tukosa, amesema hali inakwenda vizuri na wakala anayemlalamikia Mrema, alikuwa anakunywa pombe katika eneo la kituo na kuambiwa aziondoe, ndipo alipoanza kulalamika anaondolewa kituoni.
"Hakuna wakala aliyeondolewa, ila katika kituo kimoja wakala wa TLP, alikuwa na bia tatu ndani ya kituo, alipoambiwa aziondie bia hizo, akaanza kulalamika anaondolewa lakini hajaondolewa bado yupo kituoni," amesema Tukosa.
View attachment 1271804
Safi sana kwani wenzako wakati wanajitoa ulikuwa wapi? Si ulishabikia ukoo wa panya? Wacha uione NGONDOIGWA.Mwenyekiti wa TLP amesema CCM na wasimamizi wa serikali za mitaa wamemchezea rafu, anasema mfano Moshi, mawakala wa chama chake wameondolewa kwenye vituo vya kupigia kura.
Ameonya kama hali ndo hii, kuna uwezekano wa kutokea machafuko huko mbeleni.
****
Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa ukiendekea katika kijiji cha Kiraracha, jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, mwenyekiti wa TLP, Agustino Lyatonga Mrema, amelalamika kufanyiwa hujuma na baadhi ya mawakala wake kuondolewa kwenye vituo.
Mrema ameyasema hayo leo wakati akizungumza kuhusu uchaguzi huo, ambapo amesema hatendewi haki licha ya kuwa na kijiji kimoja pekee.
Mrema ambaye anashiriki katika uchaguzi kwenye kijiji cha Kiraracha pekee ambako ndiko anakoishi, akichuana na CCM, amedai kuwa aliamua kushiriki uchaguzi huo ili kumsaidia Rais John Magufuli lakini hajatendewa haki.
"Hali ni mbaya, kwani mimi nilikuja kushiriki uchaguzi huu kwa nia njema kumsaidia Rais wangu kwa sababu walitaka kuonyesha kuwa hakuna utawala bora, watu walisusa na kugoma, mimi nikasema ingawa sina halmashauri nibaki na kijiji hiki kimoja."
Aliongeza, “nilisema ushindani uwe kwenye sanduku la kura, lakini haikutokea hivyo, magari yote ya serikali ya Moshi yamehamia Kiraracha, kuna mawakala wangu wametolewa kwenye vituo, hali ikiwa hivi nchi itaharibika."
Akizungumzia malalamiko hayo, msimamizu wa uchaguzi Moshi Vijijini, Juma Tukosa, amesema hali inakwenda vizuri na wakala anayemlalamikia Mrema, alikuwa anakunywa pombe katika eneo la kituo na kuambiwa aziondoe, ndipo alipoanza kulalamika anaondolewa kituoni.
"Hakuna wakala aliyeondolewa, ila katika kituo kimoja wakala wa TLP, alikuwa na bia tatu ndani ya kituo, alipoambiwa aziondie bia hizo, akaanza kulalamika anaondolewa lakini hajaondolewa bado yupo kituoni," amesema Tukosa.
View attachment 1271804
Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema amedai Tanzania hakuna demokrasia baada ya kuchezewa rafu katika kijiji cha Kiraracha.
Amesema chama chake kilishiriki uchaguzi ili kuonyesha dunia kuwa Tanzania kuna demokrasia lakini alichofanyiwa katika kijiji hicho amekata tamaa.
msema kwel mpenz wa mungu, huu uzi sijasoma nimeishia tu kutaman hako ka kiuno hapo avatanMwenyekiti wa TLP amesema CCM na wasimamizi wa serikali za mitaa wamemchezea rafu, anasema mfano Moshi, mawakala wa chama chake wameondolewa kwenye vituo vya kupigia kura.
Ameonya kama hali ndo hii, kuna uwezekano wa kutokea machafuko huko mbeleni.
****
Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa ukiendekea katika kijiji cha Kiraracha, jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, mwenyekiti wa TLP, Agustino Lyatonga Mrema, amelalamika kufanyiwa hujuma na baadhi ya mawakala wake kuondolewa kwenye vituo.
Mrema ameyasema hayo leo wakati akizungumza kuhusu uchaguzi huo, ambapo amesema hatendewi haki licha ya kuwa na kijiji kimoja pekee.
Mrema ambaye anashiriki katika uchaguzi kwenye kijiji cha Kiraracha pekee ambako ndiko anakoishi, akichuana na CCM, amedai kuwa aliamua kushiriki uchaguzi huo ili kumsaidia Rais John Magufuli lakini hajatendewa haki.
"Hali ni mbaya, kwani mimi nilikuja kushiriki uchaguzi huu kwa nia njema kumsaidia Rais wangu kwa sababu walitaka kuonyesha kuwa hakuna utawala bora, watu walisusa na kugoma, mimi nikasema ingawa sina halmashauri nibaki na kijiji hiki kimoja."
Aliongeza, “nilisema ushindani uwe kwenye sanduku la kura, lakini haikutokea hivyo, magari yote ya serikali ya Moshi yamehamia Kiraracha, kuna mawakala wangu wametolewa kwenye vituo, hali ikiwa hivi nchi itaharibika."
Akizungumzia malalamiko hayo, msimamizu wa uchaguzi Moshi Vijijini, Juma Tukosa, amesema hali inakwenda vizuri na wakala anayemlalamikia Mrema, alikuwa anakunywa pombe katika eneo la kituo na kuambiwa aziondoe, ndipo alipoanza kulalamika anaondolewa kituoni.
"Hakuna wakala aliyeondolewa, ila katika kituo kimoja wakala wa TLP, alikuwa na bia tatu ndani ya kituo, alipoambiwa aziondie bia hizo, akaanza kulalamika anaondolewa lakini hajaondolewa bado yupo kituoni," amesema Tukosa.
View attachment 1271804
Sijui na Lowasa ndio atakuja kuwa hivi!! Huyu mzee tangu aukose urais, hajawahi kuwa sawa. Ni juzi alisema halmashauri kuu ya TLP imemteua Rais Magufuli kuwa mgombea, leo anasema "kwakuwa hatuna halmashauri..." Aliyeelewa anisaidie. Halafu sijaelewa kuwa yeye ndio alikuwa mgombea ama meneja kampeni?Mwenyekiti wa TLP amesema CCM na wasimamizi wa serikali za mitaa wamemchezea rafu, anasema mfano Moshi, mawakala wa chama chake wameondolewa kwenye vituo vya kupigia kura.
Ameonya kama hali ndo hii, kuna uwezekano wa kutokea machafuko huko mbeleni.
****
View attachment 1271804
Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa ukiendekea katika kijiji cha Kiraracha, jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, mwenyekiti wa TLP, Agustino Lyatonga Mrema, amelalamika kufanyiwa hujuma na baadhi ya mawakala wake kuondolewa kwenye vituo.
Mrema ameyasema hayo leo wakati akizungumza kuhusu uchaguzi huo, ambapo amesema hatendewi haki licha ya kuwa na kijiji kimoja pekee.
Mrema ambaye anashiriki katika uchaguzi kwenye kijiji cha Kiraracha pekee ambako ndiko anakoishi, akichuana na CCM, amedai kuwa aliamua kushiriki uchaguzi huo ili kumsaidia Rais John Magufuli lakini hajatendewa haki.
"Hali ni mbaya, kwani mimi nilikuja kushiriki uchaguzi huu kwa nia njema kumsaidia Rais wangu kwa sababu walitaka kuonyesha kuwa hakuna utawala bora, watu walisusa na kugoma, mimi nikasema ingawa sina halmashauri nibaki na kijiji hiki kimoja."
Aliongeza, “nilisema ushindani uwe kwenye sanduku la kura, lakini haikutokea hivyo, magari yote ya serikali ya Moshi yamehamia Kiraracha, kuna mawakala wangu wametolewa kwenye vituo, hali ikiwa hivi nchi itaharibika."
Akizungumzia malalamiko hayo, msimamizu wa uchaguzi Moshi Vijijini, Juma Tukosa, amesema hali inakwenda vizuri na wakala anayemlalamikia Mrema, alikuwa anakunywa pombe katika eneo la kituo na kuambiwa aziondoe, ndipo alipoanza kulalamika anaondolewa kituoni.
"Hakuna wakala aliyeondolewa, ila katika kituo kimoja wakala wa TLP, alikuwa na bia tatu ndani ya kituo, alipoambiwa aziondie bia hizo, akaanza kulalamika anaondolewa lakini hajaondolewa bado yupo kituoni," amesema Tukosa.
Je hakujua kama alikuwa amemkumbatia nungunungu?Mwenyekiti wa TLP amesema CCM na wasimamizi wa serikali za mitaa wamemchezea rafu, anasema mfano Moshi, mawakala wa chama chake wameondolewa kwenye vituo vya kupigia kura.
Ameonya kama hali ndo hii, kuna uwezekano wa kutokea machafuko huko mbeleni.
****
View attachment 1271804
Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa ukiendekea katika kijiji cha Kiraracha, jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, mwenyekiti wa TLP, Agustino Lyatonga Mrema, amelalamika kufanyiwa hujuma na baadhi ya mawakala wake kuondolewa kwenye vituo.
Mrema ameyasema hayo leo wakati akizungumza kuhusu uchaguzi huo, ambapo amesema hatendewi haki licha ya kuwa na kijiji kimoja pekee.
Mrema ambaye anashiriki katika uchaguzi kwenye kijiji cha Kiraracha pekee ambako ndiko anakoishi, akichuana na CCM, amedai kuwa aliamua kushiriki uchaguzi huo ili kumsaidia Rais John Magufuli lakini hajatendewa haki.
"Hali ni mbaya, kwani mimi nilikuja kushiriki uchaguzi huu kwa nia njema kumsaidia Rais wangu kwa sababu walitaka kuonyesha kuwa hakuna utawala bora, watu walisusa na kugoma, mimi nikasema ingawa sina halmashauri nibaki na kijiji hiki kimoja."
Aliongeza, “nilisema ushindani uwe kwenye sanduku la kura, lakini haikutokea hivyo, magari yote ya serikali ya Moshi yamehamia Kiraracha, kuna mawakala wangu wametolewa kwenye vituo, hali ikiwa hivi nchi itaharibika."
Akizungumzia malalamiko hayo, msimamizu wa uchaguzi Moshi Vijijini, Juma Tukosa, amesema hali inakwenda vizuri na wakala anayemlalamikia Mrema, alikuwa anakunywa pombe katika eneo la kituo na kuambiwa aziondoe, ndipo alipoanza kulalamika anaondolewa kituoni.
"Hakuna wakala aliyeondolewa, ila katika kituo kimoja wakala wa TLP, alikuwa na bia tatu ndani ya kituo, alipoambiwa aziondie bia hizo, akaanza kulalamika anaondolewa lakini hajaondolewa bado yupo kituoni," amesema Tukosa.
Mwenyekiti wa TLP amesema CCM na wasimamizi wa serikali za mitaa wamemchezea rafu, anasema mfano Moshi, mawakala wa chama chake wameondolewa kwenye vituo vya kupigia kura.
Ameonya kama hali ndo hii, kuna uwezekano wa kutokea machafuko huko mbeleni.
****
View attachment 1271804
Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa ukiendekea katika kijiji cha Kiraracha, jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, mwenyekiti wa TLP, Agustino Lyatonga Mrema, amelalamika kufanyiwa hujuma na baadhi ya mawakala wake kuondolewa kwenye vituo.
Mrema ameyasema hayo leo wakati akizungumza kuhusu uchaguzi huo, ambapo amesema hatendewi haki licha ya kuwa na kijiji kimoja pekee.
Mrema ambaye anashiriki katika uchaguzi kwenye kijiji cha Kiraracha pekee ambako ndiko anakoishi, akichuana na CCM, amedai kuwa aliamua kushiriki uchaguzi huo ili kumsaidia Rais John Magufuli lakini hajatendewa haki.
"Hali ni mbaya, kwani mimi nilikuja kushiriki uchaguzi huu kwa nia njema kumsaidia Rais wangu kwa sababu walitaka kuonyesha kuwa hakuna utawala bora, watu walisusa na kugoma, mimi nikasema ingawa sina halmashauri nibaki na kijiji hiki kimoja."
Aliongeza, “nilisema ushindani uwe kwenye sanduku la kura, lakini haikutokea hivyo, magari yote ya serikali ya Moshi yamehamia Kiraracha, kuna mawakala wangu wametolewa kwenye vituo, hali ikiwa hivi nchi itaharibika."
Akizungumzia malalamiko hayo, msimamizu wa uchaguzi Moshi Vijijini, Juma Tukosa, amesema hali inakwenda vizuri na wakala anayemlalamikia Mrema, alikuwa anakunywa pombe katika eneo la kituo na kuambiwa aziondoe, ndipo alipoanza kulalamika anaondolewa kituoni.
"Hakuna wakala aliyeondolewa, ila katika kituo kimoja wakala wa TLP, alikuwa na bia tatu ndani ya kituo, alipoambiwa aziondie bia hizo, akaanza kulalamika anaondolewa lakini hajaondolewa bado yupo kituoni," amesema Tukosa.
duhhahaha eti amsaidie nani kamwambia urafiki wa paka na panya unadumu ajifunze kwa limbapu aliesaidiwa kuisambaratisha CFU sasa yuko anasota