Lyatonga Mrema: CCM wamenichezea rafu Uchaguzi Serikali za Mitaa, aonya

Lyatonga Mrema: CCM wamenichezea rafu Uchaguzi Serikali za Mitaa, aonya

.
CCM haina rafiki men.
IMG-20191125-WA0029.jpeg
 
Mrema atulie dawa imuingie,
wapinzani walishaliona hili ndiyo maana wakajitoa ila yeye Mrema akajiona ni kipenzi cha Magufuli sasa leo yamemkuta ya kumkuta.
 
hahaha eti amsaidie nani kamwambia urafiki wa paka na panya unadumu ajifunze kwa limbapu aliesaidiwa kuisambaratisha CFU sasa yuko anasota
 
Yani Mzee Mrema tumempa kazi nzuri tu na bado anatukoromea, kweli mfadhili Mbuzi.
 
Mrema msanii tu na mganga njaa, hana maana kabisa huyu.
 
Waziri wa Zamani wa Mambo ya Ndani Augustine Lyatonga Mrema, amelaani vikali zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa lilivyoendeshwa, huku akitolea mfano maofisa aliowashuhudia yeye mwenyewe wakisubiri watu mtaani na kuwapigisha kura.

Mrema anasema hajawahi kushuhudia uchafu kama huo, na akasema kama kweli sisi kama nchi tumefikia hapa basi anaweza kuacha siasa kabida maana haya ni mambo ya ajabu sana kutokea nchini.

Mrema aliyedai kuwa aliamua kushirili uchaguzi kama njia ya kumuunga mkono rais dhidi ya waliosusia, anasema ameshangazwa mno na jinsi zoezi lilivyoendeshwa, na ameonakana kukerwa mno na zoezi hilo.

Kwa kweli serikali, ikae, ijitafakari ione Je kwa mambo haya ya kuvuruga haki ya wananchi kupata viongozi wao halali ni heshima kwao kama viongozi wa nchi?

Ni aibu sana kwa viongozi kuvuruga mazoezi ambayo kupitia mazoezi ya aina hiyohiyo wao waliweza kuingia madarakani. Hii ni aibu ya karne kwa serikali, Ni aibu ya karne kwa chama cha Mapinduzi.


 
Na bado, 2020 uchaguzi mkuu tutasusa zaidi.
 
Ukimsikiliza kabla ya uchaguzi na sasa baada ya uchaguzi utadhani ni mtu yule yule ila kaumbwa upya.
 
Ikiwa wameutendea hivi mti mbichi itakuwaje kwenu ninyi mlio mti mkavu?

Mrema huyu huyu ambaye siku zoooote anaunga mkono juhudi za Rais kwenye uchaguzi wa mtaa wameshindwa hata kumfikiria wakamfanyia kauungawana kidogo.

Naye wamemtenda kwa namna ambayo angepaswa kutendwa mpinzani.je kuna watu hawafuati maagizo ya wakubwa ndani ya CCM?

Imeniuma maana mrema hakupaswa kuwa treated kama wale wanaopinga juhudi.iweje naye afanyiwe kile alichoita ushenzi mpaka atamani kuacha siasa?

Hii siyo haki. Tuwe tunaangalia na watu wa kuwatendea mambo hayo jamani.si mrema. Kwa mrema mimi nakataa kata kata hakupaswa naye aibiwe kura hivi.huyu tungemwacha kulikuwa na hasara gani?

Na mbona mrema huwa anaunga mkono juhudi?kwa nini naye tusioneshe kukubaliana na juhudi zake? Hawajaangalia sura naye wamempiga kwenye Box la kura huku anaona.


Somo kwa wapinzani.

Kama Mrema ambaye si Mpinzani wamemfanyia hivi? Je ninyi mtatendwaje? Mmewaza jambo hili kwa kina?au mnalichukulia kiwepesi?

Tupate habari kamili kwa video.
 
Back
Top Bottom