Lyatonga Mrema: CCM wamenichezea rafu Uchaguzi Serikali za Mitaa, aonya

Lyatonga Mrema: CCM wamenichezea rafu Uchaguzi Serikali za Mitaa, aonya

Huyu mzee wa system anatuvuruga tu ...aende akachukue fungu lake kwa kuchangia kuibinya demokrasia
 
Mkuu huyu ni wa kumuangalia tu na kumuacha endelee kuteseka.
IMG_20191124_174557.jpeg
 
Makachero katika ubora wao, ni katika kujenga taaswira kuwa uchaguzi umeshirikisha vyama vya upinzani. Wachache wanaweza kuona hii mbinu yao dhaifu.
 
Huyu mzee wa kiraracha hata simwamini, anaweza kuita waandishi wa habari na kukanusha. Anaweza kusema acheni unaa mimi sijasema hivyo, mmeninukuu vibaya, msinigombanishe na rais wangu Makufuli.
 
Mrema kafanya jambo jema
1. Kathubutu kushiriki uchaguzi tata
2. Kaongeza ushahidi hujuma
3. Alikuwa na dhamira njema walau kufichia aibu utawala walau Tz bado tuna democrasia.( Labda baada malalamiko wanaweza kumpa ushindi wa mezani)
Asante JPM kwa mtazamo wako Watanzania tutakuwa wamoja zaidi dhidi yako.CCM si adui yetu, adui yetu ni yule mwenye maamlaka alieamuru hujuma.
 
Mrema sio mtu wa kuongea maneno haya sasa, labda kama amesahau yaliyomtokea muda wote akiwa mpinzani...
 
VAPS,
Siku zaja ccm na wapinzani wataungana dhidi ya adui yao ngumu kuelewa sasa hadi wakati ukifika.Akishaumaliza upinzani ataimaliza ccm aunde mfumo wake ndipo akili zitawaijia
 
pakaywatek,
Huyu!
Huyu bwana si alisema anautayari wa kumpa rais nafasi kugombe hata kama ccm wakimfukuza iweze ashindwe kumpa kijiji
 
Siyo mbali.
Siku zaja ccm na wapinzani wataungana dhidi ya adui yao ngumu kuelewa sasa hadi wakati ukifika.Akishaumaliza upinzani ataimaliza ccm aunde mfumo wake ndipo akili zitawaijia
 
Huyu anatafta mileage ili ahongwe. Maana uchaguz umekarbia
 
Back
Top Bottom