ninosi
Senior Member
- Jun 30, 2022
- 151
- 333
Kwa hali ilivyo sasa kama mdhamini katika NBCPL anataka kupata return ya haraka kwa hela aliyowekeza, Simba SC ni sehemu sahihi. Hili limejidhihirisha msimu huu (2022/23) ambapo M-BET anapata marejesho lukuki.
Katika msimu huu (2022/23);
1. M-BET imemwaga bilioni 1 Simba Queen. Kwa sasa Simba Queen yupo nusu fainali ya CAFCL.
2. M-BET imemwaga zaidi ya bilioni 16 Simba SC. Kwa sasa Simba SC anasubiri 16/11/2022 kupangiwa timu katika hatua ya makundi ya CAFCL.
Mafanikio ambayo timu hizo mbili zimepata katika msimu huu, zimeipa M-BET fursa kubwa ya kuweza kujitangaza duniani. Na hiii inaenda kumuongezea faida maradufu.
ANGALIZO:
Makampuni mnapotaka kujitangaza katika NBCPL, jaribuni kufanya upembuzi makini ni wapi muweke mzigo na siyo kuendeshwa na 'mahaba' kama yule 'jamaa wa Kinondoni' ambaye kwa sasa anajuta kutoa bilioni 12 kwa timu ambayo kila kukicha inalifedhehesha taifa.