TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Nyani katika ubora wako. Ukishafika hatua za makundi kuendelea michuano ya CAF, FA yako ya Tanzania haina inalolisimia kila kitu kinakuwa under CAF wenyewe. CAF wanajua strength ya Simba kwa Mkapa ni pamoja na support kubwa ya mashabiki,We kweli Mbumbumbu, Caf takwimu za Simba viwanjani wanazitoa wapi wakati FA ya Tanzania ndio inayo itaja Yanga kama timu inayoingiza mashabiki wengi viwanjani uku Msemaji wa Simba alilalamika mashabiki kiduchu wanao kwenda uwanjani na kusababisha timu kupata milioni 14 Kwa gemu Moja.
Ukiwauliza CAF tanzania ni timu gani ina sapoti kubwa ya mashabiki hawawezi kuitaja utopolo kwani kwa miaka ya hivi karibuni mashindano makubwa ya CAF mnyama ndio amewakulisha vizuri east and central Africa. utopolo haiwezi kuingia kwenye hizo record kwani hamfanyi vzr kimataifa na hivo mtabaki kwenye record za tff tu. Usichoelewa nini hapo mla mohogo?