M/kiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga na Katibu Msaidizi Mkoa wa Vyuo Vikuu washambuliwa kwa Risasi

M/kiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga na Katibu Msaidizi Mkoa wa Vyuo Vikuu washambuliwa kwa Risasi

lumumba the son

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
207
Reaction score
60
Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga Kilimanjaro Ndugu Japhar Mghamba na Katibu Msaidizi wa Mkoa Maalum wa Vyuo Vikuu wilaya ya Dar es salaam Ndugu Daniel Zenda wameshambuliwa kwa Risasi na watu wasiojulikana.

Viongozi hao ambao wapo wilayani Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro kwenye operesheni maalum inayojulikana kama operesheni Kokoro ambayo inalenga kuhamasisha vijana wa upinzani na wasio na vyama kujiunga na CCM, kuhamasisha Vijana wa CCM kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa hapo baadae October mwaka huu, na kukagua, kuhamasisha na kuelezea katika matawi na kata juu ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama kwa kauli mbiu ya ..CCM Mwanga Ukimya sasa Basi..

Viongozi hao wa Jumuiya na Chama cha Mapinduzi wamekumbwa na Mkasa huo wa kusikitisha wakiwa wamemaliza sehemu ya kwanza ya Ziara hiyo katika Kata ya Kisangara na wakirejea mwanga mjini, Kwa bahati Njema hakuna aliyepoteza maisha na tayari taarifa zimesharipotiwa kituo cha Polisi Mwanga ambapo taratibu za Uchunguzi zinaendelea.

Matukio ya vurugu na vitisho vimeanza kutawala kwa kasi kubwa katika ulingo wa Siasa za ndani hapa nchini kwetu, ni vyema sasa Serikali ikawa macho katika kuangazia upande wa Siasa kama eneo hatari (Danger Zone) ili kulinda Uhai wa Vijana na wananchi kwa Ujumla.

IMG-20140301-WA0068.jpg
IMG-20140301-WA0073.jpg
IMG-20140301-WA0072.jpg
IMG-20140301-WA0071.jpg
IMG-20140301-WA0091.jpg
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana

~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia

- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
 
Sasa hii ni Hatari ngoja tusubili taarifa kutoka mamlaka husika......
 
nani anamiliki na kutumia silaha nchi hii tena mchana peupe? nadhani unaweza kupata pa kuanzia. policcm at work.
 
"Unyonge sasa basi" by J.K Rais wa awamu ya nne Tanzania
 
Sasa hii ni Hatari ngoja tusubili taarifa kutoka mamlaka husika......
Ni jambo ambalo limetustua wengi, ikiwa Vijana wanaochipukiwa kwenye siasa wanatendewa haya vipi Taifa litakuja kuwa na Viongozi bora na waadilifu wenye uzoefu hapo baadae..?? inasikitisha sana.
 
Pole Ma Comrade wetu, wanashindwa kwenye Masanduku ya kuru, sasa wanatafuta ushindi kupitia Risasi. Hasira zetu waliziona kwenye uchaguzi mdogo wa Serikal za mitaa 24-3, wataziona kwenye hili Bunge la Katiba, Uchaguzi wa Kalenga na wa Chalinze. Wakatafute Makontena ya Silaha kabisaaa!
 
Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga Kilimanjaro Ndugu Japhar Mghamba na Katibu Msaidizi wa Mkoa Maalum wa Vyuo Vikuu wilaya ya Dar es salaam Ndugu Daniel Zenda wameshambuliwa kwa Risasi na watu wasiojulikana.

Viongozi hao ambao wapo wilayani Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro kwenye operesheni maalum inayojulikana kama operesheni Kokoro ambayo inalenga kuhamasisha vijana wa upinzani na wasio na vyama kujiunga na CCM, kuhamasisha Vijana wa CCM kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa hapo baadae October mwaka huu, na kukagua, kuhamasisha na kuelezea katika matawi na kata juu ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama kwa kauli mbiu ya "..CCM Mwanga Ukimya sasa Basi.."

Viongozi hao wa Jumuiya na Chama cha Mapinduzi wamekumbwa na Mkasa huo wa kusikitisha wakiwa wamemaliza sehemu ya kwanza ya Ziara hiyo katika Kata ya Kisangara na wakirejea mwanga mjini, Kwa bahati Njema hakuna aliyepoteza maisha na tayari taarifa zimesharipotiwa kituo cha Polisi Mwanga ambapo taratibu za Uchunguzi zinaendelea.

Matukio ya vurugu na vitisho vimeanza kutawala kwa kasi kubwa katika ulingo wa Siasa za ndani hapa nchini kwetu, ni vyema sasa Serikali ikawa macho katika kuangazia upande wa Siasa kama eneo hatari (Danger Zone) ili kulinda Uhai wa Vijana na wananchi kwa Ujumla.

Mnaharibu Nchi kwa jina la madaraka ? Kuna simu mtashindwa kuwa control hao mnaowatuma .Najua Mwanga imekuwa busy sana na wasi wasi ni Chadema kuiteka na sasa haya yana anza kujitokeza .
 
atafutwe ben saa nane,yey ndiye anaye ongoza kitengo cha mauwaji ya raia chadema

Ikiwa sasa mwendo ni kuwindana na Bastola na Maguruneti anafikiri hata yeye atabaki salama..?? nae atawindwa na atapatikana (tuombe mungu awe hausiki lakin kama amehusika lazima atapatikana)
 
Chadema hawakwepi hili suala hata wafanye vipi hii tabia ya kipumbavu sana.
 
Malizaneni na siasa zenu mtuachie nchi yetu!!!!!!
Humu mnatukanana mchana kweupe sasa uhasama ukikua mnastuka nini???!!!!
Mnashauriwa humu fanyeni siasa za hoja ila nyie kashfa tu flani hivi flani vile!!!!!!

Pole mdogo wangu Zenda degree kaifanyie kazi achana na kuuza maneno!!!!!
 
Mkuu kiloriti,huu si muda wa mzaha.Ni muda wa kutafakari na kuomba vyombo vya usalama kufanya kazi yao. Halafu,kwanini mnamfuatilia sana Ben Saanane? Jengeni hoja nanyi mkubalike kama yeye.Majungu hayajengi

we msalewa ni mchumia tumbo mkubwa huna lolote unatetea damu za watu wasio na hatia ziendelee kumwagika,chadema ni mara ngapi imemtumia ben sa nane kufnya upuuzi huu ??yaan ww una laana
 
Last edited by a moderator:
Siasa za mauwaji si nzuri ,ubaya ni kuwa hata waasisi wake Rage na wasomali wengine wanapet mitaani kwa kuwa tu ni ccm
 
Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga Kilimanjaro Ndugu Japhar Mghamba na Katibu Msaidizi wa Mkoa Maalum wa Vyuo Vikuu wilaya ya Dar es salaam Ndugu Daniel Zenda wameshambuliwa kwa Risasi na watu wasiojulikana.

Viongozi hao ambao wapo wilayani Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro kwenye operesheni maalum inayojulikana kama operesheni Kokoro ambayo inalenga kuhamasisha vijana wa upinzani na wasio na vyama kujiunga na CCM, kuhamasisha Vijana wa CCM kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa hapo baadae October mwaka huu, na kukagua, kuhamasisha na kuelezea katika matawi na kata juu ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama kwa kauli mbiu ya “..CCM Mwanga Ukimya sasa Basi..”

Viongozi hao wa Jumuiya na Chama cha Mapinduzi wamekumbwa na Mkasa huo wa kusikitisha wakiwa wamemaliza sehemu ya kwanza ya Ziara hiyo katika Kata ya Kisangara na wakirejea mwanga mjini, Kwa bahati Njema hakuna aliyepoteza maisha na tayari taarifa zimesharipotiwa kituo cha Polisi Mwanga ambapo taratibu za Uchunguzi zinaendelea.

Matukio ya vurugu na vitisho vimeanza kutawala kwa kasi kubwa katika ulingo wa Siasa za ndani hapa nchini kwetu, ni vyema sasa Serikali ikawa macho katika kuangazia upande wa Siasa kama eneo hatari (Danger Zone) ili kulinda Uhai wa Vijana na wananchi kwa Ujumla.

Mmeamua kuja na hoja nyingine pale mnapoona hamkubaliki mnaingiza propaganda kama hizi ili wale wanaokubalika PoliCCM waweze kuwakamata na kuwapa vitisho, jambo linalotupa wasiwasi juu ya hii habari yako haina viambatanisho vya kuipa uzito na hii nafikiri itakuwa haina tofauti na yale tuliyoyaona jana kule Kalenga wale jamaa wa CCM walikuwa wameshika vigogo vilivyopigiliwa misumali wakisema vilikuwa vimewekwa na wana CDM ili eti wapate pancha wasiweze kufika kwenye mkutano.

Pia naomba ufafanuzi wa neno hili (
kauli mbiu ya “..CCM Mwanga Ukimya sasa Basi..”)
 
Back
Top Bottom