M/kiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga na Katibu Msaidizi Mkoa wa Vyuo Vikuu washambuliwa kwa Risasi

M/kiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga na Katibu Msaidizi Mkoa wa Vyuo Vikuu washambuliwa kwa Risasi

Hawa ni chadema tu,polisi wanafanya mpaka sasa kuwakamata hawa machadema wanaharibu nchi hii.
 
we msalewa ni mchumia tumbo mkubwa huna lolote unatetea damu za watu wasio na hatia ziendelee kumwagika,chadema ni mara ngapi imemtumia ben sa nane kufnya upuuzi huu ??yaan ww una laana
Kwanza siitwi Msalewa.Naitwa Mselewa.Pili, mimi si mwanachama wa chama chochote nchini. Nasimamia ukweli. Kwahiyo,sina haja ya kuchumia tumbo kwakuwa nafanya kazi halali kutokana na uwezo na elimu yangu. Tatu, kama una ushahidi wa kuwa Ben Saanane anahusika na mambo kama haya,peleka kwenye vyombo vya usalama. Nashangaa leo Mkuu kiloriti hukumsifia Lowassa siku nzima!!
 
Hawa ni chadema tu,polisi wanafanya mpaka sasa kuwakamata hawa machadema wanaharibu nchi hii.

Kwa hiyo matukio yote haya hapa chini wameyafanya CHADEMA na hawajachukuliwa hatua! TAFAKARI NDUGU KABLA YA KUPOST UJINGA HAPA JF.

1. Aliyemmwagia Tindikali Said Kubenea
2. Aliyemteka na kumtesa Dr. Ulimboka
3. Aliyemuua Mwangosi
4. Waliomuua kwa kumchinja Mwenyekiti wa CHADEMA kule Usariver
5. Wale vijana wa UVCCM waliowashambulia wabunge wa CHADEMA kule Mwanza
6. Waliomteka na kumtesa Kibanda
7. Waliomuwekea sumu Mwakyembe
8. Waliomgonga kwa makusudi Mwakyembe kwa lengo la Kumuua
9. Waliomuua yule Kada wa CHADEMA kule Igunga
10. waliolipua Bomu katika Mkutano wa CHADEMA pale Soweto
11. Waliolipua Kanisani Olasit, Yule kijana waliyemrundikia zile tuhuma sidhani kama ni mtuhumiwa halali.
12. Waliomuua Padri kule Zanzibar
13. Waliowamwagia Tindikali wale Mabinti wa UK
14. Waliomshambulia Dr. Mvungi hadi kusababisha kifo chake
15. waliomsababishi kifo Waziri wa fedha Mgimwa
16Waliowamwagia Tindikali yule Shehk na mtoto wake jana kule Arusha.
17. Waliowatuma akina Masogange kupeleka ile Sembe Kule South Africa na kuwasaidia kuififisha ile kesi na kugeuza madawa kutoka Heroin/Cocaine na kuwa PHENOBABITONE
 
Itakuwa waliiba sehemu maaana maccm kwa uwiziiii

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
duh ccm ni janga.....
 
huenda tatizo ni mke wa mtu....maana hawa vijana..ni kama copy ya mwigulu.
 
Uroho wa madaraka unawafanya watawala kutumia mbinu zozote zile ilmradi wabaki madarakani, wanasahau kuwa huwezi kubishana na muda.

Nguvu ya Chadema inawatisha sana watawala, ndio maana wanatumia hila chafu kuwachafua wapinzani hasa Chadema.

Usikute hizo risasi wamejipiga hewani tu, kama vipi tunaomba majeruhi watuonyeshe matundu ya risasi walizopigwa.!
 
Malizaneni na siasa zenu mtuachie nchi yetu!!!!!!
Humu mnatukanana mchana kweupe sasa uhasama ukikua mnastuka nini???!!!!
Mnashauriwa humu fanyeni siasa za hoja ila nyie kashfa tu flani hivi flani vile!!!!!!

Pole mdogo wangu Zenda degree kaifanyie kazi achana na kuuza maneno!!!!!

Halafu mbona wanalia lia hawa na wakati mwenyekiti wao ndicho alichokitaka kiendelee hapa nchi. CDM imeumizwa mara ngapi kwenye mikutano yake na serikali haiwajibi hata kidogo. Huu ni upambafu kupindukia.
 
Mmeamua kuja na hoja nyingine pale mnapoona hamkubaliki mnaingiza propaganda kama hizi ili wale wanaokubalika PoliCCM waweze kuwakamata na kuwapa vitisho, jambo linalotupa wasiwasi juu ya hii habari yako haina viambatanisho vya kuipa uzito na hii nafikiri itakuwa haina tofauti na yale tuliyoyaona jana kule Kalenga wale jamaa wa CCM walikuwa wameshika vigogo vilivyopigiliwa misumali wakisema vilikuwa vimewekwa na wana CDM ili eti wapate pancha wasiweze kufika kwenye mkutano.

Pia naomba ufafanuzi wa neno hili (
kauli mbiu ya "..CCM Mwanga Ukimya sasa Basi..")
ina maana hizo picha haujaziona ama..??? tumia kichwa sio ukitumwa kuandika unakuja spidi na kuandika bila mpangilio..kwanza hapa haijatajwa chadema mbona mnajishuku..au mmehusika..??
 
Mungu awasadie wapone haraka ili waendelee kukiimarisha chama chao na kukiandaa kuwa chama bora cha upinzani hapo mwaka 2015.
 
Hendry Kileo kugombea ubunge jimbo LA mwanga 2015 kila lakheri kileo
 
Back
Top Bottom