kajirita
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,575
- 637
Sasa mnashangaa nini na mwenye nchi ashasema wanaCCM waache unyonge?Kilichotokea ni pale ambapo pambe zote mbili wanaondoa unyonge!
Na wale wanaosema wazisubiri mamlaka husika,kwani hizo nazo sio taasisi za CCM zilizotakiwa kuondoa ungonge?
Tunakoelekea sasa nafikiri VITA inayochochewa na wanasiasa walioshika madaraka inanukia!!