M/kiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga na Katibu Msaidizi Mkoa wa Vyuo Vikuu washambuliwa kwa Risasi

M/kiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga na Katibu Msaidizi Mkoa wa Vyuo Vikuu washambuliwa kwa Risasi

ben za siku umeadimika sana, vipi kuhusu harakati za uwenyekiti wa bavicha? Heche kaanza maandalizi , au umeishajitoa kwenye kugombea? Au unahofia kufukuzwa? Kuna baadhi ya watu wanapost kuwa maji yako shingoni upande wako? Je ni kweli? Kaza buti utafika

Vuta subira...acha papara mkuu.
 
Hawa jamaa hawasikii au hawajiwezi?
Si wameambiwa waache unyonge?
 
Kwanza ninawapa pole wana CCM wote wa wilaya ya mwanga na wapenda amani wote.kwa sisi wapenda amani tunasubilia vyombo vya ulinzi na usalama vitafanya kazi yao na tutapata taarifa ya kiuchunguzi kutoka kwao.
Nguvu ya chama itaonekana kwenye chaguzi zinazo kuja,. Wana chama wenzangu msife moyo katika kukijenga chama chetu, watashindana kwa mbinu zao za kivita, lakini hawata shinda.
 
we msalewa ni mchumia tumbo mkubwa huna lolote unatetea damu za watu wasio na hatia ziendelee kumwagika,chadema ni mara ngapi imemtumia ben sa nane kufnya upuuzi huu ??yaan ww una laana
Kwahiyo Polisi wanamuogopa Ben? kwanini hawamkamati na kumfikisha mahakamani? au wewe unachuki binafsi na Beni?
 
Hivi nyie bavicha si niliwashauri kuacha kunylwa Gongo.,acheni mnaharibu akili bure. Kama babu anaona hiyo ndio njia ya kupandisha uchumi mwachie yeye na familia yake wanywe hiyo gongo nyie acheni jamani.
Tangu lini fuska akatoa ushauri zaidi ya kuharisha?
 
zenda kuwadi wa wabunge wa ccm kazi unayo, nahisi ulikuwa katika harakati zako mza ukuwadi, umewauza sana wanafunzi wa udom
 
Kufanya siasa za vurugu ni uhalifu na sheria lazima ichukue mkondo wake. Hata hivyo kwa kuchunguza picha iliyoambatanishwa hilo siyo shambulizi la risasi, lilikuwa jiwe lililorushwa kwa mkono au kombeo!
 
Back
Top Bottom