Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
ben za siku umeadimika sana, vipi kuhusu harakati za uwenyekiti wa bavicha? Heche kaanza maandalizi , au umeishajitoa kwenye kugombea? Au unahofia kufukuzwa? Kuna baadhi ya watu wanapost kuwa maji yako shingoni upande wako? Je ni kweli? Kaza buti utafika
Kwahiyo Polisi wanamuogopa Ben? kwanini hawamkamati na kumfikisha mahakamani? au wewe unachuki binafsi na Beni?we msalewa ni mchumia tumbo mkubwa huna lolote unatetea damu za watu wasio na hatia ziendelee kumwagika,chadema ni mara ngapi imemtumia ben sa nane kufnya upuuzi huu ??yaan ww una laana
Tangu lini fuska akatoa ushauri zaidi ya kuharisha?Hivi nyie bavicha si niliwashauri kuacha kunylwa Gongo.,acheni mnaharibu akili bure. Kama babu anaona hiyo ndio njia ya kupandisha uchumi mwachie yeye na familia yake wanywe hiyo gongo nyie acheni jamani.