M/kiti wa wafanyabiashara Kariakoo anawatisha wale wote waliozungumza kwenye kikao na Lissu

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Nukuu ya mwathiliwa;

Jamaa ametuma jamaa zake eti kutuhoji kwa nini tunatumika na wanasiasa kuichafua Serikali. Anadai hoja zote si zilitatuliwa na PM sasa ya nini eti tunamdhalilisha Rais!

Tumewataka hao vibaraka waende wamwambie atuandikie kwa maandishi hayo malalamiko yake ama atupigie simu mwenyewe kwa kinywa chake ili tumjibu. Tumechoka kutishwa!

Amesema.
Subirini sindano iwaingie mtajuta kumfahamu Lissu, siwatishi subirini mtakumbuka yule tapeli na mzushi atawasaidia nini. Lissui ameshachukua mabilioni familia yake iko Ulaya nyie mmeng'a macho na ufukara wenu kumsikiliza mzushi mwongo, mbona hamkumwambia awasomee kifungu baada ya kifungu. watanzania mnapenda sana kudanganywa ila wale manyau hawawezi kumzuia Rais kutimiza majukumu yake.
 
Nukuu ya mwathiliwa;

Jamaa ametuma jamaa zake eti kutuhoji kwa nini tunatumika na wanasiasa kuichafua Serikali. Anadai hoja zote si zilitatuliwa na PM sasa ya nini eti tunamdhalilisha Rais!

Tumewataka hao vibaraka waende wamwambie atuandikie kwa maandishi hayo malalamiko yake ama atupigie simu mwenyewe kwa kinywa chake ili tumjibu. Tumechoka kutishwa!

Amesema.
As long kuna kitu kinaitwa "chama cha ..." Tanzania jua mamluki wa ccm wapo
 
Nukuu ya mwathiliwa;

Jamaa ametuma jamaa zake eti kutuhoji kwa nini tunatumika na wanasiasa kuichafua Serikali. Anadai hoja zote si zilitatuliwa na PM sasa ya nini eti tunamdhalilisha Rais!

Tumewataka hao vibaraka waende wamwambie atuandikie kwa maandishi hayo malalamiko yake ama atupigie simu mwenyewe kwa kinywa chake ili tumjibu. Tumechoka kutishwa!

Amesema.
Huyo Mwenye kiti ni chawa tu hana lolote, kwanini kama anaubavu na hoja zote zilikuwa na PM angependa kwenye kikao cha L'issu apambanishe hoja zake na L'issu akione cha mtema kuni!

Angefika pale atoe maelezo yake msenge huyo! Apuuzwe!
 
Nukuu ya mwathiliwa;

Jamaa ametuma jamaa zake eti kutuhoji kwa nini tunatumika na wanasiasa kuichafua Serikali. Anadai hoja zote si zilitatuliwa na PM sasa ya nini eti tunamdhalilisha Rais!

Tumewataka hao vibaraka waende wamwambie atuandikie kwa maandishi hayo malalamiko yake ama atupigie simu mwenyewe kwa kinywa chake ili tumjibu. Tumechoka kutishwa!

Amesema.

Pia soma
- Tundu Lissu aonekana Kariakoo, atangaza opereshani rejesha Bandari za Tanganyika kutoka kwa Sultan wa Dubai imeanza
Safi Lissu tunakusikiliza wewe serikali imeshindwa.
 
subirini sindano iwaingie mtajuta kumfahamu Lissu, siwatishi subirini mtakumbuka yule tapeli na mzushi atawasaidia nini. Lissui ameshachukua mabilioni familia yake iko Ulaya nyie mmeng'a macho na ufukara wenu kumsikiliza mzushi mwongo, mbona hamkumwambia awasomee kifungu baada ya kifungu. watanzania mnapenda sana kudanganywa ila wale manyau hawawezi kumzuia Rais kutimiza majukumu yake.

Mbona umepanic sana bro. Mbona unatumia nguvu kubwa kulinda wizi wa mali za Tanganyika?
 
Huyo mwenyekiti aache udwanzi wake, km yeye ana ubavu si angeenda kuzuia huo mkutano wa Lissu, pumbavuu zake.
 
Mwambieni ,Hana akili
Baada ya waziri mkuu kuja ,Sheria zakodi zimebadilishwa?
 
Back
Top Bottom