Sasa kama mwenye nchi mwenyewe aliogopa kuja akaamua kushiriki kwa video unategemea nini tena hapo........bora angekakamaa kidogo atokeze.......jamaa kaonyesha woga wa hali ya juuSasa kile kikao cha SADC na EAC kilikuwa na maana gani kama waasi wanasonga mbele kuelekea Bukavu?
`Kweli. Anafanya masikhara. Kwa ushindi wanaoupata M23 inaelekea watapata pia kuungwa mkono na wengi.Wengi wao walikuwa ni Wanajeshi wa Kongo kabla ya kuasi ndio maana wanaitwa Waasi.
Tishekedi aache kiburi akae nao chini wayajenge vita iishe asisubiri mpaka wafike Uvira Kalemie Moba wakifika huko wanaweza kuongeza masharti.
Haswa maeneo ya waongea Kiswahili mashariki na Katanga Shaba.`Kweli. Anafanya masikhara. Kwa ushindi wanaoupata M23 inaelekea watapata pia kuungwa mkono na wengi.
Kuna Mercenary mmoja alikuwa anasema alipewa contract ya kuwafunza Askari wa Kongo alishangaa kuwa hata Body armour walikuwa hawana na wengine hata viatu walikuwa hawana anasema akaomba wapewe vifaa vikaja robo๐ anasema akaaza kazi akashangaa askari hata morali hawana wakamwambia kuwa hawaja tokea jana yake๐ฅฒDuh! M23 wameigundua dosari hiyo na wamewabana kwenye udhaifu huo na kweli wamenyong'onyea - wameishiwa kabisa morali hadi nguvu iliyobakia kwao ni ya kukimbia ili kujiokoa na sio kupambana tena.
Tunaambiwa eti kapanda ndege yy na mke wake wameenda Ufaransa kusherehekea Valentine's Day. !!!!! Kama hilo ni kweli, basi Felix Tshisekedi nchi imemshinda jumla. Bora akabidhi nchi kwa Jeshi na aombe kujikabidhi Uhamishoni moja kwa moja huko Ufaransa alikoenda kula bata na wife.Muda umekwisha, Tishekedi imebakia siku za kukimbia DRC
Bado,Tshisekedi ni rais halali wa DRC amechaguliwa Kidemokrasia lakini mimi ninachoshindwa kumuelewa ni kwamba je ni nani anamshauri vibaya Rais Felix Tshisekedi?!Muda umekwisha, Tishekedi imebakia siku za kukimbia DRC
Dah! Ama kweli walisemaga "adui yako muombee njaa" ujeuri utamwisha.Kuna Mercenary mmoja alikuwa anasema alipewa contract ya kuwafunza Askari wa Kongo alishangaa kuwa hata Body armour walikuwa hawana na wengine hata viatu walikuwa hawana anasema akaomba wapewe vifaa vikaja robo๐ anasema akaaza kazi akashangaa askari hata morali hawana wakamwambia kuwa hawaja tokea jana yake๐ฅฒ
Kwani hajui Akili za kupewa ongeza na za kwako??Bado,Tshisekedi ni rais halali wa DRC amechaguliwa Kidemokrasia lakini mimi ninachoshindwa kumuelewa ni kwamba je ni nani anamshauri vibaya Rais Felix Tshisekedi?!
Haijawahi kutokea nchi yoyote hapa duniani eti Serikali ikakosa fedha. Never. Nakubaliana na hoja ya upigaji umekuwa mkubwa mno.Nadhani kunashida,,inawesekana serikali haina fedha au pesa zote zinaibwa kwenye manunuazi ya silaha ,,sbb jeshi huku masharki hawana saporti,,ndo maama M23 wanapata nguvu
DRC imeuliwa na RUSHWA kipindi cha Dikteta Mobutu haijawahi ku recover DRC ikipata uongozi mzuri wa kuinyoosha Nchi na kukubali kuwa Congo DRC ni ya Wakongo wote.Dah! Ama kweli walisemaga "adui yako muombee njaa" ujeuri utamwisha.
Mobutu hayupo tena. Mobutu RIP tangu Sept. 1997 i.e. miaka 28 imeshapita. Lakini Utawala upo na ilitakiwa cha kwanza Tshisekedi aweke mambo sawa kuiondoa /kuipunguza kabisa Rushwa iliyotamalaki na kujenga imani ya wananchi kwa Serikali yao.DRC umeuliwa na RUSHWA kipindi cha Dikteta Mobutu haijawahi ku recover DRC ikipata uongozi mzuri wa kuinyoosha Nchi na kukubali kuwa Congo DRC ni ya Wakongo wote.
Sio kazi rahisi kuna Wakongo wengine bado wanataka Mobutu Style Government kama akina Christian Malanga aliyetaka kumpindua Tshisekedi ๐๐๐ Kongo ina kazi kubwa.Mobutu hayupo tena. Mobutu RIP tangu Sept. 1997 i.e. miaka 28 imeshapita. Lakini Utawala upo na ilitakiwa cha kwanza Tshisekedi aweke mambo sawa kuiondoa /kuipunguza kabisa Rushwa iliyotamalaki na kujenga imani ya wananchi kwa Serikali yao.
Ilikuwa ni "Show-off"tu.Sasa kile kikao cha SADC na EAC kilikuwa na maana gani kama waasi wanasonga mbele kuelekea Bukavu?
Kama ni kweli. Hayuko serious huyu mpuuzi.Kwisha maneno, Mr Tshisekedi Chilombo kapanda ndenge kuelekea Paris kufanya sherehe za Valentine's day na Mke wake. Huku wanajeshi wa Burundi wakimbia na wengine kukamatwa mateka kwa wingi.๐๐คฃ
Wamegundua hakuna haja ya kusaidia tribalism and ignorance ya Tshesekedi, acha M23 wachukue nchi imani ipatikaneSasa kile kikao cha SADC na EAC kilikuwa na maana gani kama waasi wanasonga mbele kuelekea Bukavu?