M23 inaelekea Bukavu mjini

M23 inaelekea Bukavu mjini

Sasa kile kikao cha SADC na EAC kilikuwa na maana gani kama waasi wanasonga mbele kuelekea Bukavu?
Sasa kama mwenye nchi mwenyewe aliogopa kuja akaamua kushiriki kwa video unategemea nini tena hapo........bora angekakamaa kidogo atokeze.......jamaa kaonyesha woga wa hali ya juu
 
Wengi wao walikuwa ni Wanajeshi wa Kongo kabla ya kuasi ndio maana wanaitwa Waasi.

Tishekedi aache kiburi akae nao chini wayajenge vita iishe asisubiri mpaka wafike Uvira Kalemie Moba wakifika huko wanaweza kuongeza masharti.
`Kweli. Anafanya masikhara. Kwa ushindi wanaoupata M23 inaelekea watapata pia kuungwa mkono na wengi.
 
Duh! M23 wameigundua dosari hiyo na wamewabana kwenye udhaifu huo na kweli wamenyong'onyea - wameishiwa kabisa morali hadi nguvu iliyobakia kwao ni ya kukimbia ili kujiokoa na sio kupambana tena.
Kuna Mercenary mmoja alikuwa anasema alipewa contract ya kuwafunza Askari wa Kongo alishangaa kuwa hata Body armour walikuwa hawana na wengine hata viatu walikuwa hawana anasema akaomba wapewe vifaa vikaja robo😆 anasema akaaza kazi akashangaa askari hata morali hawana wakamwambia kuwa hawaja tokea jana yake🥲
 
Muda umekwisha, Tishekedi imebakia siku za kukimbia DRC
Tunaambiwa eti kapanda ndege yy na mke wake wameenda Ufaransa kusherehekea Valentine's Day. !!!!! Kama hilo ni kweli, basi Felix Tshisekedi nchi imemshinda jumla. Bora akabidhi nchi kwa Jeshi na aombe kujikabidhi Uhamishoni moja kwa moja huko Ufaransa alikoenda kula bata na wife.
 
Nadhani kunashida,,inawesekana serikali haina fedha au pesa zote zinaibwa kwenye manunuazi ya silaha ,,sbb jeshi huku masharki hawana saporti,,ndo maama M23 wanapata nguvu
 
Muda umekwisha, Tishekedi imebakia siku za kukimbia DRC
Bado,Tshisekedi ni rais halali wa DRC amechaguliwa Kidemokrasia lakini mimi ninachoshindwa kumuelewa ni kwamba je ni nani anamshauri vibaya Rais Felix Tshisekedi?!
 
Kuna Mercenary mmoja alikuwa anasema alipewa contract ya kuwafunza Askari wa Kongo alishangaa kuwa hata Body armour walikuwa hawana na wengine hata viatu walikuwa hawana anasema akaomba wapewe vifaa vikaja robo😆 anasema akaaza kazi akashangaa askari hata morali hawana wakamwambia kuwa hawaja tokea jana yake🥲
Dah! Ama kweli walisemaga "adui yako muombee njaa" ujeuri utamwisha.
 
Bado,Tshisekedi ni rais halali wa DRC amechaguliwa Kidemokrasia lakini mimi ninachoshindwa kumuelewa ni kwamba je ni nani anamshauri vibaya Rais Felix Tshisekedi?!
Kwani hajui Akili za kupewa ongeza na za kwako??
Wanaomshauri vibaya ni hao hao Washauri wake na Wasaidizi wake. Asitafute mchawi.
 
Nadhani kunashida,,inawesekana serikali haina fedha au pesa zote zinaibwa kwenye manunuazi ya silaha ,,sbb jeshi huku masharki hawana saporti,,ndo maama M23 wanapata nguvu
Haijawahi kutokea nchi yoyote hapa duniani eti Serikali ikakosa fedha. Never. Nakubaliana na hoja ya upigaji umekuwa mkubwa mno.
 
Dah! Ama kweli walisemaga "adui yako muombee njaa" ujeuri utamwisha.
DRC imeuliwa na RUSHWA kipindi cha Dikteta Mobutu haijawahi ku recover DRC ikipata uongozi mzuri wa kuinyoosha Nchi na kukubali kuwa Congo DRC ni ya Wakongo wote.
 
DRC umeuliwa na RUSHWA kipindi cha Dikteta Mobutu haijawahi ku recover DRC ikipata uongozi mzuri wa kuinyoosha Nchi na kukubali kuwa Congo DRC ni ya Wakongo wote.
Mobutu hayupo tena. Mobutu RIP tangu Sept. 1997 i.e. miaka 28 imeshapita. Lakini Utawala upo na ilitakiwa cha kwanza Tshisekedi aweke mambo sawa kuiondoa /kuipunguza kabisa Rushwa iliyotamalaki na kujenga imani ya wananchi kwa Serikali yao.
 
Mobutu hayupo tena. Mobutu RIP tangu Sept. 1997 i.e. miaka 28 imeshapita. Lakini Utawala upo na ilitakiwa cha kwanza Tshisekedi aweke mambo sawa kuiondoa /kuipunguza kabisa Rushwa iliyotamalaki na kujenga imani ya wananchi kwa Serikali yao.
Sio kazi rahisi kuna Wakongo wengine bado wanataka Mobutu Style Government kama akina Christian Malanga aliyetaka kumpindua Tshisekedi 😆😆😂 Kongo ina kazi kubwa.
 
14 February 2025

Meseji kwa Batoto Ba Bukavu

View: https://m.youtube.com/watch?v=eDzCjR5R49k

Hamjambo batoto ba Bukavu, mu ingie kunyumba Mukyale kumunyumba, msipanikie kitu, msitoke nje na watoto mshikimbilie ku mupori, ba authoritee bote bamekimbia ku MuBurundi

Mkiona siye M23 tunaingia msipanikee tunakuja

Meseji kwa FARDC ...musije kukufa kwa ajili ya Felix Tshisekedi
 
HUKU M23 wakiendelea na maandamano kuelekea Kinshasa baada ya kupiga hodi leo mjini Bukavu, rais Felix Tshisekedi asafiri kwenda Ulaya ..

13 February 2025
Munich, Germany

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aibuka nchini Germany katika mji wa Munich na kuwepo katika jopo la kuzungumzia usalama dunia

EXCUSIVE - HOTUBA YA RAIS FÉLIX TSHISEKEDI KATIKA MKUTANO WA MUNICH GERMANY KUHUSU USALAMA


View: https://m.youtube.com/watch?v=H5IHTTO3zfM
Rais Felix Tshisekedi watu 7,000,000 wamekuwa wakimbizi wa ndani katika Kongo kutokana na vitendo vya nchi ya Rwanda ...


wana jopo walaumu wadau wakubwa kama UN, EU, Marekani, China wanawajibu gani katika kuleta amani duniani lakin tunao hali hiyo ya wakubwa kushiriki kidakindaki kuleta amani dunia wakubwa hao wanasitasita...

Mwanajopo rais Mahama wa Ghana ahojiwa nguvu ya SADC, ECA, ECOWAS, Peacekeeping Forces na kusema kuna mazingira matumizi ya nguvu ya bunduki na mabomu inayotumiwa na serikali iliyopo madarakani hayaweza kutatua mzozo bali mazungumzo ndiyo njia sahihi ...

Felix Tshisekedi alaumu undumakuwili na unafiki wa jumuiya ya kimataifa inapotokea nchi moja kuvamiwa na nchi jirani, tunaona jumuiya ya kimataifa inaamua tofauti kwa mazingira yaleyale kwa nchi tofauti ikivamiwa, mfano Kongo kuvamiwa hatuoni Jumuiya ya Kimataifa na kikanda wakichukua hatua stahiki... hii ni hatari kwa usalama na raia wanaoathirika na nchi yao kuvamiwa...

Naye waziri wa ulinzi wa Rwanda mheshimiwa Marizamunda Juvenal asema nchi yake haifadiki na kinachoendelea nchi Congo, bali inataka kuona amani inapatikana Congo ili nchi zote kufaidika na biashara za kuvuka mipaka baina ya nchi hizo jirani ..

Bi. Kimani wa Kenya akamuuliza kwanini Rais Felix Tshisekedi haziamini taasisi za kikanda kama AU, SADC, EAC hivi karibuni kwa kutohudhuria mikutano kama wa Dar es Salaam 8 February 2025 na ule wa Umoja wa Afrika AU unaoendelea 15 February 2025 mjini Addis Ababa, je kususa kuhudhuria hakuondoi fursa ya kuleta Amani kwa njia ya mazungumzo kufanikiwa

Mheshimiwa Rais Felix Tshisekedi leo tarehe 14 February 2025 kuna taarifa mji wa Bukavu ulipo nchini kwako, je una lakutuambia hali hiyo mpya nchini mwako ?
 
Hivi hawa m 23 wana uwezo wa mapigano kiasi hiki? Jeshi la serikali pamoja na washirika wanafeli wapi?
 
Kwisha maneno, Mr Tshisekedi Chilombo kapanda ndenge kuelekea Paris kufanya sherehe za Valentine's day na Mke wake. Huku wanajeshi wa Burundi wakimbia na wengine kukamatwa mateka kwa wingi.👇🤣
Kama ni kweli. Hayuko serious huyu mpuuzi.
 
Back
Top Bottom