Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Organization bro. Nyabyondo Nyabiondo), ni mali ya M23 kwa sasa, hapo kifutacho ni maandalizi ya kuendelea. Kusini ndo kinawaka, eneo linalojulikana kama Minembwe. Huku ndipo wazarendo na FDLR kwa sasa wapo kuwaua watutsi, na kuchoma nyumba zao, huku FARDC ikiwamiminia mabomu kutumia ndege za kivita, na M23 ipo njiani kuelekea huko.Update
Mkuu kwa hapa unaweza kuwa unawaonea nadhani viongozi wao ndio wanaoifanya congo na wa congo kuonekana inavyoonekana kwa sasa. Fikiria nchi yenye utajiri tunaoambiwa inao na ina wabunge karibu 500 na wanalipwa karibu Tsh 80m@. Nchi na wananchi wa kawaida watabaki na nini zaidi ya miayo tuu.Tatizo makongomani yanajua kukata viuno na kujichubua , muda mwingine natamani mr tall aichukue ile nchi maana ni ufala tuu 🤬🤬🤬
Kuna nini?M23 wakitoka huko wanakuja kagera na kigoma
Ndio mwanzo wa kiswahili sasa kujua asiliKuna nini?
?M23 wakitoka huko wanakuja kagera na kigoma. Kuna nchi itakuja kuwa kubwa huku wale wavunja matofari kila sukukuu za jeshi wakijaribu kutafuta mbinu za kuvunja vyuma sasa
Kwa rasilimali zinazopotea hapo Congo mshahara wa 80m sio issue, mbona haziwanufaishi..? No wonder trump alisema Africa iliwahi kupata uhuru maana hatujui kuutumiaMkuu kwa hapa unaweza kuwa unawaonea nadhani viongozi wao ndio wanaoifanya congo na wa congo kuonekana inavyoonekana kwa sasa. Fikiria nchi yenye utajiri tunaoambiwa inao na ina wabunge karibu 500 na wanalipwa karibu Tsh 80m@. Nchi na wananchi wa kawaida watabaki na nini zaidi ya miayo tuu.
sio kwamba wanaitumia Rwanda ili wachimbe bila kufuata sheria kali za bwana TshisikediNaomba MUNGU hawa M23 wauteke huo mgodi, najua KIFO cha kagame kitakuwa tayari kimewadia
Wazungu wote wataungana kuiangusha Rwanda
watu wanapuuza hili , wanahisi ni madini tu wanataka , ila hii ni next step ili wanapiteka Burundi wawe salama , wanakumbuka Idd Amin aliondolewa kwa kuchelewa kuivamia Tz iliyowatunza Obote na watu wake , pia Viongoz wa Burundi lzm wakimbilie Tz siku wakipinduliwaM23 wakitoka huko wanakuja kagera na kigoma. Kuna nchi itakuja kuwa kubwa huku wale wavunja matofari kila sukukuu za jeshi wakijaribu kutafuta mbinu za kuvunja vyuma sasa
Maafisa vipenyo haoLeo jeshi la congo limewakamata watanzania wawiili mmoja kutoka Zanzibar na mwingine Arusha wakishirikiana na ADF
PIA jeshi la congo leo limemdaka askari wa Rwanda akiwa ndani ya M23 kwenye mapigano hapo malikaleView attachment 3266166
Mboka na ngai yuko wapi?Leo katika mkoa wa Walikale, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC) askari mmoja wa Rwanda (RDF) aitwaye Dieu-Donné amekamatwa na Jeshi la Kongo (FARDC)
Askari huyo alijiunga na jeshi la rwanda mwaka 2014. Alikamatwa akiwa kwenye mji wa Bikenge Inasemekana alikuwemo na wenzake askari 31 wa RDF walioingia congo pamoja na yeye kutoka Rwanda na walipita kwenye mji wa Goma tarehe 22 Februari kwa njia ya mpaka mdogo na Katika hao askari 31 ambao wote ni from Rwanda tayari waliuwawa kwenye mapambano leo ispokuwa yete tu ndio kapona
Baada ya kukamatwa, alionyeshwa mbele ya vyombo vya habari na Jeshi la Kongo (FARDC)View attachment 3266172
Nipo hapa. Swali nikujibu mzee!Mboka na ngai yuko wapi?
Usilishwe matango ukameza tu. Ikibidi fanya utafiti ndo ulete hapa. Huyu mnyamulengeLeo katika mkoa wa Walikale, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC) askari mmoja wa Rwanda (RDF) aitwaye Dieu-Donné amekamatwa na Jeshi la Kongo (FARDC)
Askari huyo alijiunga na jeshi la rwanda mwaka 2014. Alikamatwa akiwa kwenye mji wa Bikenge Inasemekana alikuwemo na wenzake askari 31 wa RDF walioingia congo pamoja na yeye kutoka Rwanda na walipita kwenye mji wa Goma tarehe 22 Februari kwa njia ya mpaka mdogo na Katika hao askari 31 ambao wote ni from Rwanda tayari waliuwawa kwenye mapambano leo ispokuwa yete tu ndio kapona
Baada ya kukamatwa, alionyeshwa mbele ya vyombo vya habari na Jeshi la Kongo (FARDC)View attachment 3266172
Mkuu salary ya m80 kwa mbunge sio issue kwa nchi ambayo unaambiwa inashikilia kombe kwa wananchi wake kukosa chakula duniani? Trump anaweza kuwa sahihiKwa rasilimali zinazopotea hapo Congo mshahara wa 80m sio issue, mbona haziwanufaishi..? No wonder trump alisema Africa iliwahi kupata uhuru maana hatujui kuutumia
Tatizo makongomani yanajua kukata viuno na kujichubua , muda mwingine natamani mr tall aichukue ile nchi maana ni ufala tuu 🤬🤬🤬
Au sioUsilishwe matango ukameza tu. Ikibidi fanya utafiti ndo ulete hapa. Huyu mnyamulenge