Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Tanzania Wanyarwanda na watu wa Mataifa mengine ya jirani wapo wengi sana. Tanzania is motherland, and as a motherland hatuna sababu ya kuwachukia wageni na majirani waliopo katikati yetu. Cha msingi hawafunji Sheria za nchi. We needs those brains from our neighbouring countriesNi imhotep
Huyu Sheikh anasema yeye ni mtanzania. Ila ikiguswa Rwanda kwa namna yoyote anasimama na Rwanda na huoni akiwa upande wa Tanzania.
Ni mhaini huyu!