Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Vuta picha ndiyo wamepewa uraia wa Tanzania halafu yupo hivyo!Naunga mkono hoja jamaa ni mnyarwanda.
Kule Congo watutsi wenzake M23 wanataka wawepo kwenye mamlaka ya serikali ya Congo na jeshini.
Kwa mfano wa wazi wa huyu mtutsi wa hapa Jf unafikiri hao M23 wakipewa wanayoyataka huko Congo watakuwa watiifu kwa nani? Kwa Congo au kwa Kagame huko kwao Rwanda?