Tetesi: M23 wamepewa kichapo na wamerudishwa nyuma baada na za Vikosi Maalum vya DRC kuingia Goma

Tetesi: M23 wamepewa kichapo na wamerudishwa nyuma baada na za Vikosi Maalum vya DRC kuingia Goma

Naunga mkono hoja jamaa ni mnyarwanda.
Vuta picha ndiyo wamepewa uraia wa Tanzania halafu yupo hivyo!

Kule Congo watutsi wenzake M23 wanataka wawepo kwenye mamlaka ya serikali ya Congo na jeshini.

Kwa mfano wa wazi wa huyu mtutsi wa hapa Jf unafikiri hao M23 wakipewa wanayoyataka huko Congo watakuwa watiifu kwa nani? Kwa Congo au kwa Kagame huko kwao Rwanda?
 
Kwa KAGAME, halafu wakiguswa kidogo kwa nini wanikimbilia mauwaji ya Kimbali?. Tanzania inauza mafuta sana Congo hasa AGO/PMS, pamoja na kusarisha sana mizigo hali ikiwa mbaya sana mapato yatapungua.
 
Congo ni nchi yenye mfumo wa jeshi mbovu sana sasa afisa mwenye rank ya major General anaendaje front line kuongoza mapigano. Hao junior officers wanakazi gani mpaka senior officers kama brig general na major general waokaongoze vita ndiyo maana yule Gavana major general kauawa
Inategemea mifumo na ideology.
Mfano : Napoleon Bonaparte alikuwa ana songa front, aliamini general kwa kuwa ndio mkuu wa mwisho unatakiw utoe maamuz ukiwa ground uone hali halisi, sio ukae NGOME...

wengi tu walikuwa wanasonga front,kina Alexander the Great na most of kings and generals walikuwa wanasonga front ku build nguvu,morale na walikuwa general kwa sababu ya uzoefu wa vita..
 
Hata uruke uruke vipi bado haiondoi maana kuwa wewe ni mhaini wa hili Taifa.

Unaupenda Ututsi kuliko utanzania. Uwepo wako kwenye taifa la Tanzania ni najisi.
Mbona wewe unaupenda Uarabu nimeshawahi kukuita Arab Slave?!

Hunijui sikujui tunakutana humu JF kubadilishana mawazo usichukulie mambo ya humu personal.
 
Hints. Rwanda iongee na watoto na wajukuu wa wauaji.

Rwanda isihatarishe amani ya Congo kwa kisingizio cha kuwaangamiza FDRL.
Btw, Rwanda inavoshuri Congo waongee na M 23, kwanini wao wasiongee na FDRL?.....KILA UPANDE UONGEE NA WABAYA WAO ENEO LIPATE AMANI.
Kuna options mbili, kuwapiga rebels au kuongea nao. Option ya kwanza huwa ni kuwapiga mkiona hilo la kuwapiga mmeshindwa ndiyo mnaongea nao and there you'll have to make concession.
DRC inawabidi waongee na waasi, they can't fight them lakini Rwanda inayowakimbiza waasi hata wanapojificha across the border kipi kitawashawishi kuongea na waasi?
 
Ha
Ikawe heri kama ni kweli,,, na pia nasikia baba wa majeshi Africa ya mashariki JWTZ nao wametia timu kwenda kupiga tafu hawa ndugu zetu wakongo , wanachojua kukata viuno na kupaka mkorogo ila kulinda nchi yao aaaah
Hali ikoje kwa sasa
 
"Wazalendo" waliotekwa wote ni FLDR walikuwa recruited na Tshisekedi kwa lengo la kufanya Genocide nyingine Kongo.

So called Wazalendo ni Interahamwe ni vipi Jeshi letu JW lipigane bega kwa bega na Interahamwe.

Iundwe tume ichunguze hii blunder.
Jeshi lenu na nani we mwanamgambo wa M23 unaleta propaganda za kigaidi hapa Kagame ajiandae kupokea kipigo
 
We kahaba la Goma sikia nikupashe upashike!
Walishindwa vipi kuhamisha biashara zao?
Kibarua wewe usiyejua biashara wewe umezoea kuajiriwa lofa wewe

Mtu ana majumba ya kupangisha Goma ataweka magurudumu kuyahamisha?

Ana vituo vya mafuta ataviwekea magurudumu kuhamisha?
 
Vuta picha ndiyo wamepewa uraia wa Tanzania halafu yupo hivyo!

Kule Congo watutsi wenzake M23 wanataka wawepo kwenye mamlaka ya serikali ya Congo na jeshini.

Kwa mfano wa wazi wa huyu mtutsi wa hapa Jf unafikiri hao M23 wakipewa wanayoyataka huko Congo watakuwa watiifu kwa nani? Kwa Congo au kwa Kagame huko kwao Rwanda?
Mobutu ndio alifanya makosa,halafu kabila snr ndio akavuruga kabisa,TZ hao wakimbizi wa rwanda,burundi na congo wapo zaidi ya miaka 50 wapo camp tu,wanazaana humo humo lakini hawaesabiki kama wa TZ,imagine wangeachiwa kama walivyoachiwa congo saa hizi wangekua wanaclaim kagera na kigoma ni ya kwao while wakati wanakuja kiukimbizi miaka hiyo waliwakuta watu pale,tutsi sio watu wazuri hata kidogo
 
Back
Top Bottom