Kabisa kongo hakuna Jeshi kabisaaaaUongo mtupu Jeshi la DRC ni mdebwedo dubwi debwee dubwana 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kongo hakuna Jeshi kabisaaaaUongo mtupu Jeshi la DRC ni mdebwedo dubwi debwee dubwana 🤣🤣🤣
Fdrl na mk23 wote waliingia congo kama wakimbizi wa rwanda,cha ajabu fdrl wanatambua kama wao ni warwanda lakini tutsi mk23 wanadai wao ni wakongoman 😀,hima bampire ni upumbavu wakiachiwa kesho na keshokutwa wataclaim hata kigoma na kagera ni yaoFDRL wako Kongo anaongeaje na wakongo?
Duh! Ina maana front waende juniors tu ndio jeshi litakuwa madhubuti? Sio lazima uchangie maoni yako ktk kila jambo!Congo ni nchi yenye mfumo wa jeshi mbovu sana sasa afisa mwenye rank ya major General anaendaje front line kuongoza mapigano. Hao junior officers wanakazi gani mpaka senior officers kama brig general na major general waokaongoze vita ndiyo maana yule Gavana major general kauawa
Hata IDF commender lazima awe front, ukisoma hata opp za Mossad mara kadhaa Wale Top wanakua front kabisa .ni utamaduni nadhani kwao,so inafuatana na Nchi na NchiInategemea mifumo na ideology.
Mfano : Napoleon Bonaparte alikuwa ana songa front, aliamini general kwa kuwa ndio mkuu wa mwisho unatakiw utoe maamuz ukiwa ground uone hali halisi, sio ukae NGOME...
wengi tu walikuwa wanasonga front,kina Alexander the Great na most of kings and generals walikuwa wanasonga front ku build nguvu,morale na walikuwa general kwa sababu ya uzoefu wa vita..
Jakaya alimwambia apatane na fdlr,akajibu shit ni mikwala juuFDRL wako Kongo anaongeaje na wakongo?
Trust me broChanzo cha habari?
Ngoja nikumegee sikio🤣🤣🤣hao walio kimbia mpaka sasa bado niwanajeshi?
Itelijensia mbovu sana moja ya sehemu ambazo taarifa zinauzwa kwa adui ni kupitia vijana wale wale wazalendo,Ha hahahaha ni kweli usemalo lkn kufika Kinshasa ni ngumu.
Na kuhusu vijana wako vijana wazalendo wanajiita Wazalendo wanapambana nao wao
Huyu jamaa ni mamluki na ana asili ya Rwanda kuwa mwangalifu yupo biased!Inaripotiwa kuwa, mpaka majira ya saa 5 usiku, waasi wa M23 wameshindwa kuushika mji wa Goma na wameanza kuzidiwa.
Hii ni baada ya askari wa ranks za captain na Lieutenants kuoongoza vikosi vya jeshi la Kongo baada ya majenerali na wengine wa vyeo vya juu kukimbia.
Huo ubaba wa majeshi vipi tena?Ikawe heri kama ni kweli,,, na pia nasikia baba wa majeshi Africa ya mashariki JWTZ nao wametia timu kwenda kupiga tafu hawa ndugu zetu wakongo , wanachojua kukata viuno na kupaka mkorogo ila kulinda nchi yao aaaah
Ngoja nikumegee sikio
Ni kweli kabisa MkuuItelijensia mbovu sana moja ya sehemu ambazo taarifa zinauzwa kwa adui ni kupitia vijana wale wale wazalendo,
Ikumbukwe wazalendo walijitolea kupigana bega kwa bega na jeshi la serikali
Mwanzo walitoa kichapo haswa ,ikafikia hatua vikundi vya waasi vikaona madhara ya wazalendo na kuamua kupachika watu wao mle mle,
Mkuu ukiangalia wazalendo wa mwanzo kabisa waliokua wanatoa dozi nene kwa vikundi vya waasi na sasa hivi viko sawa?
Mbinu gani itumike kulisuka jeshi upya?Fuatilia historia ya nchi hiyo hususani kuhusiana na masuala haya ya Majeshi ya Ulinzi kwenye nchi hiyo.
Dikteta Mobutu Sese Seko aliwavuruga hasa, kwanza Jeshi la Ulinzi la Taifa hilo aliligawa katika makundi kama mawili hivi:- Jeshi/Kikosi Maalumu Cha Kumlinda yeye Rais wa nchi hiyo, pamoja na Kikosi kingine Cha Ulinzi wa nchi.
Vikosi hivi vilikuwa na Wakuu wake, ambapo Kikosi Maalumu Cha Kumlinda Rais kilikuwa kinapewa upendeleo zaidi, Mkuu wa Kikosi hiki alikuwa hapokei Amri kutoka kwa Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo (CDF), Bali yeye alikuwa kama CDF Daraja la Kwanza ambaye alikuwa anawezeshwa kwa kila kitu kuanzia Fedha, Vifaa vya Kijeshi, n.k, Kikosi hiki Wanajeshi wake walikuwa wapo karibu zaidi na Rais wa nchi huku kile Kikosi kingine Cha Jeshi la Ulinzi wa nchi kikiwa dhaifu Sana kupita kiasi kwani walikuwa hawana Fedha za kutosha za kuendesha shughuli za kijeshi, Vifaa vichache na duni, Dis-organozation ya Mfumo wa Utawala wa Jeshi lenyewe wakati walikuwa na Jukumu kubwa zaidi la kulinda Nchi hiyo yote kabisa.
Ndio maana unaona hata Waasi walipoanzisha Vita ya Mapinduzi ya Utawala wa Rais Mobutu Sese Seko Mwaka 1997 hawakuwahi kukumbana na upinzani mkali Sana kutoka kwa. Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo. Hali iliyosababisha hata Rais Mobutu Sese Seko kuhisi kwamba Mkuu wa Majeshi General Mahele alikuwa anafanya usaliti dhidi yake yeye. Rais. Mwisho wake Mobutu Sese Seko aliamua kumteka huyo Mkuu wa Majeshi General Mahele na kumuua kikatili Sana.
Udhaifu wa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo ni tatizo la kihistoria, lilianzia tangu zamani
Uzuri au ubaya wa Jeshi katika nchi yoyote ile hutegemea moja kwa moja na aina ya Mifumo ya Utawala iliyopo katika nchi husika. Endapo kama Mifumo ya Utawala wa nchi ikiwa mizuri, imara na madhubuti, basi automatically hata Majeshi yaliyopo kwenye nchi husika nayo yatakuwa mazuri, Bora na imara, vice versa is true.Mbinu gani itumike kulisuka jeshi upya?
Sasa JWTZ ndo unataka likavihamishe ??Kibarua wewe usiyejua biashara wewe umezoea kuajiriwa lofa wewe
Mtu ana majumba ya kupangisha Goma ataweka magurudumu kuyahamisha?
Ana vituo vya mafuta ataviwekea magurudumu kuhamisha?
Hahahaha nani huyo? Mbona raha sanaSheikh; kwa nini unakataa uraia wako?
Kwani ukikubali wewe Mrwanda utapungukiwa na nini?
Wewe ni Gaidi!Ni mhaini huyu!