Tetesi: M23 wamepewa kichapo na wamerudishwa nyuma baada na za Vikosi Maalum vya DRC kuingia Goma

Tetesi: M23 wamepewa kichapo na wamerudishwa nyuma baada na za Vikosi Maalum vya DRC kuingia Goma

Congo ni nchi yenye mfumo wa jeshi mbovu sana sasa afisa mwenye rank ya major General anaendaje front line kuongoza mapigano. Hao junior officers wanakazi gani mpaka senior officers kama brig general na major general waokaongoze vita ndiyo maana yule Gavana major general kauawa
Ko unatak hao junior ndio wafe sio kwaiyo umeajiliwa jeshini kukaa ofisini au kulinda raia mbona mnakuwa na mitazamo hasi na mibaya uko hamas viongoz wakubwa wanatunguliwa kwaiyo nao ni mfumo mbovu
 
Labda sababu ya kuofanya Rwanda iongee na FDLR ni ipi!? Inyenyekewe kwa mauwaji waliyoyafanya? Inyenyekewe kwa maovu waliyoyafanya Congo!? Muda umefika maji na mafuta kujitenga. DRC yenye uhitaji wao ikakae nao huko inakojua yenyewe.
Hints. Rwanda iongee na watoto na wajukuu wa wauaji.

Rwanda isihatarishe amani ya Congo kwa kisingizio cha kuwaangamiza FDRL.
Btw, Rwanda inavoshuri Congo waongee na M 23, kwanini wao wasiongee na FDRL?.....KILA UPANDE UONGEE NA WABAYA WAO ENEO LIPATE AMANI.
 
Congo ni nchi yenye mfumo wa jeshi mbovu sana sasa afisa mwenye rank ya major General anaendaje front line kuongoza mapigano. Hao junior officers wanakazi gani mpaka senior officers kama brig general na major general waokaongoze vita ndiyo maana yule Gavana major general kauawa
Inategemea na muundo wa jeshi lililoko vitani lina ukubwa gani.

Kama itatumwa Patuni, Luteni ataongoza.
Kama itatumwa Kombania, Meja ataongoza.
Kama kitatumwa Kikosi, Luteni kanali ataongoza.
Kama itatumwa Brigedi, Brigadier general ataongoza.
Kama itatumwa Divison, Major general ataongoza.
Kama itatumwa Corp, Luteni jeneral ataongoza.
Kama itatumwa Army, General ataongoza.

Vyeo vikubwa vikiwa vingi huongoza miundo ya chini ya vyeo vyao.

Kwa mfano cheo cha Major general anaweza kuongoza brigade, iwapo vyeo hivyo vilipandishwa bila muundo na vikawa vingi.

Hata leo hapa kwetu likitokea seke seke, hao Generals unaowaona wataswagwa vitani bila kubakizwa maofisini.

Mwenye excuse hapo ni mmoja tu, Cdf.

Kwa hiyo mkuu usishituke kusikia General kafia vitani, mstari wa mbele.
Ila kwa 'case' ya hao generals kuhuni vita, kuna taratibu zake za kudeal na watu kama hao, hukumu zao huwaga ni kunyongwa kwa firing squad.
 
"Wazalendo" waliotekwa wote ni FLDR walikuwa recruited na Tshisekedi kwa lengo la kufanya Genocide nyingine Kongo.

So called Wazalendo ni Interahamwe ni vipi Jeshi letu JW lipigane bega kwa bega na Interahamwe.

Iundwe tume ichunguze hii blunder.
JW siyo jeshi lako,lako RPF,pili wazalendo siyo fdlr,ni uwongo,fdlr waliokimbia Rwanda wengi Wana umri wa kagame,tshisekedi aliita vijana wa kikongo kujiunga jeshini
 
Hints. Rwanda iongee na watoto na wajukuu wa wauaji.

Rwanda isihatarishe amani ya Congo kwa kisingizio cha kuwaangamiza FDRL.
Btw, Rwanda inavoshuri Congo waongee na M 23, kwanini wao wasiongee na FDRL?.....KILA UPANDE UONGEE NA WABAYA WAO ENEO LIPATE AMANI.
Basi. Wazo zuri. Lakini haiwezekani. Matokeo ndo haya unayoyaona, mbabe atajulikana tu. M23 wanadai haki yao. FDLR wanadai nini?
 
Hali ya Mji wa Goma imetulia risasi na milipuko ya silaha mbalimbali haisikiki tena.
 
Back
Top Bottom