January 20, 2025 Congo walikuwa na ibada ya kumuomba Mungu awatie imani Tanzania iwasaidie,Wacongo wanaamini mgogoro wao ulipofika Mungu pekee kupitia Tanzania ndiyo msaada uliyobaki uki M23 ikiwa imeshakuchukua maeneo muhimu
Januari 22,Mkuu wa Mafunzo na Oparesheni za Kivita wa JWTZ,Meja Jenerali Ibrahimu Mhona,akiambana na Mkuu wa Itifaki Kimataifa wa JWTZ Meja Jenerali,Mbaraka Naziady Mkeremy,walifanya ziara fiche kwenda Congo.kilichofata vilishushwa vyuma hatari
Hadi jana asubuhi maeneo mengi yamekombolewa,wakongo wengi wanashangilia Tanzania Tanzania,Tanzania Wakongo wanaamini anayeratibu machafuko kwao ni Rwanda.Rai yao Rwanda apigwe ili kukomesha vurugu
Goma leo imekuwa na shangwe kubwa kumbe watz watu wa maana tunaogopwa sana aisee Mungu awalinde wapiganaji wetu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania