Tetesi: M23 wamepewa kichapo na wamerudishwa nyuma baada na za Vikosi Maalum vya DRC kuingia Goma

Tetesi: M23 wamepewa kichapo na wamerudishwa nyuma baada na za Vikosi Maalum vya DRC kuingia Goma

Mkuu nadhani hiki ulichosema ndicho kinawafanya watu waseme DRC ina jeshi dhaifu miaka yote wameshindwa kuwaeliminate m23, maana nchi yoyote inayojielewa na ina jeshi imara haiwezi kulea timbwili linalohatarisha usalama wa nchi yake.
Hahahaha,M23 kwenye mitandao mbn wepesi tu, Sasa ulizia waliofika Field watakuambia
 
Mkuu,
Kwenye falme za zamani watawala wa falme ndio waliongoza battle field mfano kina mfalme daudi pia hata kule Korea kina JUMONG.

Ni kawaida kwa kamanda alie iva vizuri kutamani kuongoza askari wake kuwapa molari mstari wa mbele vitani..
Hizo ni story ukweli waliongoza vita wakiwa nyuma au wakiwa na ulinzi mkali sana sema historia lazima iwakumbuke wao
 
Hizo ni story ukweli waliongoza vita wakiwa nyuma au wakiwa na ulinzi mkali sana sema historia lazima iwakumbuke wao
Mfano general Mbona kabla hajawa CDF.
Kwenye vita ya Kagera inasemwa mboma ndege aliyo kua anaendesha ilitekwa..Ila alifanya overlapping na kuwaachia manyoya askari wa Uganda.

Huoni kua hata angepata cheo kwa kua ana ujuzi mkubwa wa kuendesha ndege za kivita anaweza kuutumia popote..

Mfano mtu Kama CHE GUEVARA alikua mstaari wa mbele..mpaka akafa
 
Kabla hujawa general ni kweli kabisa lazima uanzie huko chini ila ukishakuwa juu basi kazi Yako inakuwa kutoa muongozo kutokana na uzoefu wako
 
Ikawe heri kama ni kweli,,, na pia nasikia baba wa majeshi Africa ya mashariki JWTZ nao wametia timu kwenda kupiga tafu hawa ndugu zetu wakongo , wanachojua kukata viuno na kupaka mkorogo ila kulinda nchi yao aaaah
Hahahhaha daah
 
hukuweka wewe ni vyombo vya habari vya ulimwengu aljazeera, bbc nk vyote vimeripoti Gomba is down to M23
Weka thread uikopi hapa siyo kuniandikia maneno yasiyo na ushahidi. Au screen shot hiyo post then iweke hapa
 
Siyo kituo. Uwanja wa ndege, uliokuwa ukilindwa na Walinzi wa raisi. Daadeki
Hakuna ndege inayoweza kutua hapo itaangushwa na Rebels sasa hao wanaopigana hapo wanasubiriwa tu risasi ziwaishie nasikia baadhi yao wamenyoosha mikono na kupeperusha Bendera nyeupe na wengine haswa wale wanaojiita "Wazalendo" ambao ni FLDR bado wamejichimbia Airport wanajua wakijisalimisha wanakamatwa na kupelekwa Rwanda kushitakiwa.
 
Back
Top Bottom