Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
We kahaba la Goma sikia nikupashe upashike!Hasara ya ajira za kujuana na vyeo vya kupeana
Kamanda akifika uwanja wa mapambano kivita hamna kitu ni kutimua mbio tu huku akilia kama mwehu mama weee
Vita vimeanza Leo au zamani??
Walishindwa vipi kuhamisha biashara zao?
Walishindwa vipi kuondoka mapema hadi wasubirie hali ya hatari kiasi hiki??
Unataka JWTZ likahatarishe usalama wao kama wao walivyoamua kuhatarisha usalama wa maisha yao???
Kama waliamua kubaki ,
basi waendelee kubaki na kupambana na hali zao
waache kujiliza Liza humu!!!!!