Tetesi: M23 wamepewa kichapo na wamerudishwa nyuma baada na za Vikosi Maalum vya DRC kuingia Goma

Congo ni nchi yenye mfumo wa jeshi mbovu sana sasa afisa mwenye rank ya major General anaendaje front line kuongoza mapigano. Hao junior officers wanakazi gani mpaka senior officers kama brig general na major general waokaongoze vita ndiyo maana yule Gavana major general kauawa
Unataka wasiende wakati ni kazi yao.kule Ukraine na urusi magenerali wanaingia front kubambana.Unavyozidi kupanda cheo maana yake na uzoefu unakuwa maradufu na inatakiwa kuuonyesha uzoefu wako kwenye mstari wa mbele siyo kwenye shida unawaachia junior
 
Kanali na luteni kanali ndiyo huwa msitari wa mbele, generals ni planners,huwa nyuma kidogo,mkipigwa mkawa mnarudishwa nyuma nao hurudi nyuma toka positions zao
 
Inaripotiwa kuwa, mpaka majira ya saa 5 usiku, waasi wa M23 wameshindwa kuushika mji wa Goma na wameanza kuzidiwa.

Hii ni baada ya askari wa ranks za captain na Lieutenants kuoongoza vikosi vya jeshi la Kongo baada ya majenerali na wengine wa vyeo vya juu kukimbia.

AU na SADC bure kabisa miaka yote hawa Intarahamwe wanatamba huko msituni kama sokwe nyie mnawaangalia tu. Wana ukwasi mwingi kiasi gani au kuna maslahi binafsi kwa baadhi ya wanachama wa AU/SADC kutoka kwa hawa Intarahamwe
 
GOMA : SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imethibitisha leo kuwa jeshi la Rwanda linahusika katika mapigano yanayoendelea huko Goma, ambako waasi wa M23 wanadai kuteka mji huo.

Msemaji wa serikali ya Congo, Patrick Muyaya, amesema vikosi vya DRC vinapambana kwa bidii ili kuzuia machafuko na mauaji, huku akitoa wito kwa wakazi wa Goma kusalia majumbani mwao na kuepuka vitendo vya uharibifu wa mali na uporaji.

Mapema leo, waasi wa M23 walivamia katikati ya mji wa Goma, ambapo hali bado ni tete na maelfu ya wafungwa wanaripotiwa kutoroka kutoka gereza moja la mji huo.

Jeshi la Congo lililopo kwenye mlima wa Goma limekuwa likirusha makombora kuelekea Rwanda.

Msemaji wa jeshi la Rwanda, Ronald Rwivanga, amesema kuwa raia watano wa Rwanda wameuawa na wengine 25 wamejeruhiwa vibaya katika mji wa Rubavu, huko Gisenyi, ambao upo karibu na Congo.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Jean Noel Barrot, ameelaani vikali uvamizi wa M23 huko Goma, akisema:
"Barani Afrika, katika eneo la Maziwa Makuu, mapigano yanazidi kuongezeka. Goma inajiandaa kutekwa," alisema Barrot.

Kwa mujibu wa taarifa ya Ufaransa, mapigano hayo yanaungwa mkono na wanajeshi wa Rwanda na yamepelekea vifo vya walinda amani sita huku maelfu ya raia wakilazimika kuyahama makazi yao.

Juhudi za kimataifa na kikanda za kutafuta suluhu ya mzozo huu zinaendelea. Jana, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilijadili hali hiyo, huku mkutano wa marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukitarajiwa kufanyika Jumatano ijayo.

Chanzo: Dw
 
Kwa sababu hawataki kuchuma dhambi za kuwatetea na kuwalinda Watawala Wezi, Mafisadi, Waovu, Watekaji na Wabaguzi.
Je, wewe upo tayari kuwatetea na kuwalinda Watawala Wahalifu wa namna hiyo?
kwamaana hyo Congo imegubikwa na Mafisadi,wezi,watekaji na wabaguzi katika watawala hvo jeshi halikubaliani na hvo vitendo swali jeshi linachukua hatua gani kulinda rasilimali za nchi ya kifisadi?au ndo kuwaachi wageni waje wajaze matumbo yao, basi hapo jeshi la Congo nalo linashida.
 
GOMA : SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imethibitisha leo kuwa jeshi la Rwanda linahusika katika mapigano yanayoendelea huko Goma, ambako waasi wa M23 wanadai kuteka mji huo.

Msemaji wa serikali ya Congo, Patrick Muyaya, amesema vikosi vya DRC vinapambana kwa bidii ili kuzuia machafuko na mauaji, huku akitoa wito kwa wakazi wa Goma kusalia majumbani mwao na kuepuka vitendo vya uharibifu wa mali na uporaji.

Mapema leo, waasi wa M23 walivamia katikati ya mji wa Goma, ambapo hali bado ni tete na maelfu ya wafungwa wanaripotiwa kutoroka kutoka gereza moja la mji huo.

Jeshi la Congo lililopo kwenye mlima wa Goma limekuwa likirusha makombora kuelekea Rwanda.

Msemaji wa jeshi la Rwanda, Ronald Rwivanga, amesema kuwa raia watano wa Rwanda wameuawa na wengine 25 wamejeruhiwa vibaya katika mji wa Rubavu, huko Gisenyi, ambao upo karibu na Congo.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Jean Noel Barrot, ameelaani vikali uvamizi wa M23 huko Goma, akisema:
"Barani Afrika, katika eneo la Maziwa Makuu, mapigano yanazidi kuongezeka. Goma inajiandaa kutekwa," alisema Barrot.

Kwa mujibu wa taarifa ya Ufaransa, mapigano hayo yanaungwa mkono na wanajeshi wa Rwanda na yamepelekea vifo vya walinda amani sita huku maelfu ya raia wakilazimika kuyahama makazi yao.

Juhudi za kimataifa na kikanda za kutafuta suluhu ya mzozo huu zinaendelea. Jana, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilijadili hali hiyo, huku mkutano wa marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukitarajiwa kufanyika Jumatano ijayo.

Chanzo: Dw
Lakini yenyewe haihusiki kwenye mipango ya FDLR kuvuruga amani na usalama wa Rwanda eh!? Kama ni somo wamelipata, kimya kimya. Wakitaka la wazi wazi, story itabaki nyingine mkuu
 
GOMA : SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imethibitisha leo kuwa jeshi la Rwanda linahusika katika mapigano yanayoendelea huko Goma, ambako waasi wa M23 wanadai kuteka mji huo.

Msemaji wa serikali ya Congo, Patrick Muyaya, amesema vikosi vya DRC vinapambana kwa bidii ili kuzuia machafuko na mauaji, huku akitoa wito kwa wakazi wa Goma kusalia majumbani mwao na kuepuka vitendo vya uharibifu wa mali na uporaji.

Mapema leo, waasi wa M23 walivamia katikati ya mji wa Goma, ambapo hali bado ni tete na maelfu ya wafungwa wanaripotiwa kutoroka kutoka gereza moja la mji huo.

Jeshi la Congo lililopo kwenye mlima wa Goma limekuwa likirusha makombora kuelekea Rwanda.

Msemaji wa jeshi la Rwanda, Ronald Rwivanga, amesema kuwa raia watano wa Rwanda wameuawa na wengine 25 wamejeruhiwa vibaya katika mji wa Rubavu, huko Gisenyi, ambao upo karibu na Congo.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Jean Noel Barrot, ameelaani vikali uvamizi wa M23 huko Goma, akisema:
"Barani Afrika, katika eneo la Maziwa Makuu, mapigano yanazidi kuongezeka. Goma inajiandaa kutekwa," alisema Barrot.

Kwa mujibu wa taarifa ya Ufaransa, mapigano hayo yanaungwa mkono na wanajeshi wa Rwanda na yamepelekea vifo vya walinda amani sita huku maelfu ya raia wakilazimika kuyahama makazi yao.

Juhudi za kimataifa na kikanda za kutafuta suluhu ya mzozo huu zinaendelea. Jana, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilijadili hali hiyo, huku mkutano wa marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukitarajiwa kufanyika Jumatano ijayo.

Chanzo: Dw
Hii habari ya juzi
 
Congo ni nchi yenye mfumo wa jeshi mbovu sana sasa afisa mwenye rank ya major General anaendaje front line kuongoza mapigano. Hao junior officers wanakazi gani mpaka senior officers kama brig general na major general waokaongoze vita ndiyo maana yule Gavana major general kauawa
Kwani Russia walipotezaje wale maafisa wakuu waandamizi zaidi ya 20 kwenye vita vyao na Ukraine si ni hivyo hivyo.
 
kwamaana hyo Congo imegubikwa na Mafisadi,wezi,watekaji na wabaguzi katika watawala hvo jeshi halikubaliani na hvo vitendo swali jeshi linachukua hatua gani kulinda rasilimali za nchi ya kifisadi?au ndo kuwaachi wageni waje wajaze matumbo yao, basi hapo jeshi la Congo nalo linashida.
Fuatilia historia ya nchi hiyo hususani kuhusiana na masuala haya ya Majeshi ya Ulinzi kwenye nchi hiyo.

Dikteta Mobutu Sese Seko aliwavuruga hasa, kwanza Jeshi la Ulinzi la Taifa hilo aliligawa katika makundi kama mawili hivi:- Jeshi/Kikosi Maalumu Cha Kumlinda yeye Rais wa nchi hiyo, pamoja na Kikosi kingine Cha Ulinzi wa nchi.
Vikosi hivi vilikuwa na Wakuu wake, ambapo Kikosi Maalumu Cha Kumlinda Rais kilikuwa kinapewa upendeleo zaidi, Mkuu wa Kikosi hiki alikuwa hapokei Amri kutoka kwa Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo (CDF), Bali yeye alikuwa kama CDF Daraja la Kwanza ambaye alikuwa anawezeshwa kwa kila kitu kuanzia Fedha, Vifaa vya Kijeshi, n.k, Kikosi hiki Wanajeshi wake walikuwa wapo karibu zaidi na Rais wa nchi huku kile Kikosi kingine Cha Jeshi la Ulinzi wa nchi kikiwa dhaifu Sana kupita kiasi kwani walikuwa hawana Fedha za kutosha za kuendesha shughuli za kijeshi, Vifaa vichache na duni, Dis-organozation ya Mfumo wa Utawala wa Jeshi lenyewe wakati walikuwa na Jukumu kubwa zaidi la kulinda Nchi hiyo yote kabisa.
Ndio maana unaona hata Waasi walipoanzisha Vita ya Mapinduzi ya Utawala wa Rais Mobutu Sese Seko Mwaka 1997 hawakuwahi kukumbana na upinzani mkali Sana kutoka kwa. Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo. Hali iliyosababisha hata Rais Mobutu Sese Seko kuhisi kwamba Mkuu wa Majeshi General Mahele alikuwa anafanya usaliti dhidi yake yeye. Rais. Mwisho wake Mobutu Sese Seko aliamua kumteka huyo Mkuu wa Majeshi General Mahele na kumuua kikatili Sana.
Udhaifu wa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo ni tatizo la kihistoria, lilianzia tangu zamani
 
Fuatilia historia ya nchi hiyo hususani kuhusiana na masuala haya ya Majeshi ya Ulinzi kwenye nchi hiyo.

Dikteta Mobutu Sese Seko aliwavuruga hasa, kwanza Jeshi la Ulinzi la Taifa hilo aliligawa katika makundi kama mawili hivi:- Jeshi/Kikosi Maalumu Cha Kumlinda yeye Rais wa nchi hiyo, pamoja na Kikosi kingine Cha Ulinzi wa nchi.
Vikosi hivi vilikuwa na Wakuu wake, ambapo Kikosi Maalumu Cha Kumlinda Rais kilikuwa kinapewa upendeleo zaidi, Mkuu wa Kikosi hiki alikuwa hapokei Amri kutoka kwa Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo (CDF), Bali yeye alikuwa kama CDF Daraja la Kwanza ambaye alikuwa anawezeshwa kwa kila kitu kuanzia Fedha, Vifaa vya Kijeshi, n.k, Kikosi hiki Wanajeshi wake walikuwa wapo karibu zaidi na Rais wa nchi huku kile Kikosi kingine Cha Jeshi la Ulinzi wa nchi kikiwa dhaifu Sana kupita kiasi kwani walikuwa hawana Fedha za kutosha za kuendesha shughuli za kijeshi, Vifaa vichache na duni, Dis-organozation ya Mfumo wa Utawala wa Jeshi lenyewe wakati walikuwa na Hukumu kubwa zaidi la kulinda Nchi hiyo yote kabisa.
Ndio maana unaona hata Waasi walipoanzisha Vita ya Mapinduzi ya Utawala wa Rais Mobutu Sese Seko Mwaka 1997 hawakuwahi kukumbana na upinzani mkali Sana kutoka kwa. Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo. Hali iliyosababisha hata Rais Mobutu Sese Seko kuhisi kwamba Mkuu wa Majeshi General Mahele alikuwa anafanya usaliti dhidi yake yeye. Rais. Mwisho wake Mobutu Sese Seko aliamua kumteka huyo Mkuu wa Majeshi General Mahele na kumuua kikatili Sana.
Udhaifu wa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo ni tatizo la kihistoria, lilianzia tangu zamani
Inapigwa come back huko na fardc do mchezo,wanapeleka vita ndani ya Rwanda
 
Back
Top Bottom