Tanzania Wanyarwanda na watu wa Mataifa mengine ya jirani wapo wengi sana. Tanzania is motherland, and as a motherland hatuna sababu ya kuwachukia wageni na majirani waliopo katikati yetu. Cha msingi hawafunji Sheria za nchi. We needs those brains from our neighbouring countries