M23 wateka mji wa Shasha, na kuanza kuzingira Goma, busara itumike

Wakubwa wa dunia wanataka vita iishe au ndo wanaiendekeza?
Wakubwa wana nufaika na vita ya DRC pakubwa sana, mali inatoka pale kwa punguzo kubwa maana wao ndio wana wapa msaada wahalifu pale kupitia mawakala wao wakina Kagame
 
Wakubwa wana nufaika na vita ya DRC pakubwa sana, mali inatoka pale kwa punguzo kubwa maana wao ndio wana wapa msaada wahalifu pale kupitia mawakala wao wakina Kagame

Sikudhani kuna kitu nitakuja kukubaliana na wewe humu JF, ila kwenye hili uko sahihi sana.
 
Hao kama Waisraili hata awe vipi yeye ni israili nafikiri ni mpango wa Raisi wao kutaka kuichukua DRC kama koloni lake maana mali za kongo nyingi anakwenda kuiba kule nadio maana anapachika watu huku mdogo mdogo wakija kuibuka ktk usingizi mzito wabongo nchi ishachukuliwa.
 
Habari ya weekend hii,mambo yashabadilika
 
Ifikie mahali tukubaliane kuwa EAC haitakuja ku ku achieve malengo yake kama inavyo jinasibu. Amani ya kongo ni kipimo.
 
Itafutwe mbinu ya kisiasa ya kupatanisha wapiganaji kwenye nchi ya DRC, vita vya nchi ile sio vya kawaida, kuna mkanganyiko mkubwa sana na umwagikaji wa damu utaendelea kwa muda mrefu kama pande zote zitaendelea kutunisha misuli.
Hilo ni jeshi la Rwanda (RDF) wamevamia Drc na kuendesha machafuko.

Rwanda ibanwe na jamii ya kimataifa iondoe askari wake Drc.
 
Hilo ni jeshi la Rwanda (RDF) wamevamia Drc na kuendesha machafuko.

Rwanda ibanwe na jamii ya kimataifa iondoe askari wake Drc.

Tatizo hiyo jamii ya kimataifa utakuta ndio inanufaika na mkanganyiko wa DRC, na wanamtumia Kagame kuendelea kuharibu.
 
Tatizo la Congo liko Kigali, tuendelee kupambana nalo kijeshi, na pia wakati huo huo tukiwa tunasubiri muda na wakati sahihi.

Nina imani miaka 15-20 tatizo litakuwa limekwisha, au linakaribia asilimia 85 ya suluhu. Moja kati ya sukuhu ni kuwa na uongozi wa kidemokrasia Rwanda na Uganda bula kuingilia siasa za nchi hizo, hasa siasa za Uganda.
 
We mbwa ni wa wapi mbona hueleweki unachoongea. Ni wale wanyarwanda mnaong'ang'ania nchi ya watu?
 
Mwisho wa ubaya ni aibu. Hilo likagame kuna mataifa ya nje yanamtumia, ila mwisho wa huyo jamaa ni aibu. Hata chombo kilichoandika hizo habari mi siiamini, imekaa kipropaganda kuliko ukweli
 
Huwezi ku debate na mtu intellectually bila matusi?
Haueleweki.
 
Nina imani miaka 15-20 tatizo litakuwa limekwisha, au linakaribia asilimia 85 ya suluhu. Moja kati ya sukuhu ni kuwa na uongozi wa kidemokrasia Rwanda na Uganda bula kuingilia siasa za nchi hizo, hasa siasa za Uganda.
Hata mimi ninaamini hili, mabadiliko ya tawala za Kigali na Kampala kutoka kiimla mpaka Kidemokrasia kutakuwa nafuu kubwa mno kwa amani ya Drc.

JokaKuu zitto junior
 
Tatizo la Kongo nyoka tayali ameingia chumbani kwa uzembe wao wenyewe na wanajua kabisa kwamba nyoka yuko chumbani lakini hawataki kumtoa
 
Mkuu usijari Hilo linajulikana na ndiyo maana Kuna wanajeshi wa usalama walishajiunga na m23 na washajua information yote. Na nakuhakikishia hao watusi waliokwenye jeshi la congo wataanza kuuwawa mmoja Hadi mwingine. Mpaka aliyewatuma atajuta. Wacongo Mungu amesikia kilio Chao na watakaa kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…