green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Acha kuwapa sifa hao vilaza wa kitusi kwanza wanatambulika kirahisi sana hawana ujanja kukwepa kutiwa nguvuni labda watorokeSijakuelewa nini povu na matusi.
Tunaongea kuhusu DRC na hili suala la M23, umeiweka vizuri kuhusu hilo la split personalities, ni mojawapo wa changamoto ambayo hakuna aliyekubishia, sasa mbona utokwe povu na matusi.
Watutsi ni watu hatari sana kwenye jamii yoayote, hawana uzalendo popote nje ya Rwanda, hata kama kazaliwa na kukulia Kenya, lazima kiaina atakua anawaza Rwanda.
Shida kubwa ni kwamba mataifa majirani ya Rwanda ikiwemo hata hiyo DRC, Tanzania, Burundi na Uganda kuna Watutsi hadi maeneo nyeti kwenye uongozi.