M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

NiKuwachapa Rwanda ni simpo sana chief ndio maana sasa hiv amehamia vita ya kisaikolojia na propaganda. Ngoja mtiti uanze utakuja kuniambia. Hata kipind kile si waliwaacha mpaka walivyopanga vita kichapo kikaanza.
Samahani ndugu, kwani SADC bado hawajaanza kazi hukooo
 
Wacha unafiki wewe roho gani inakuuma?Una roho gani kwanza wewe?Unajidai kuumwa na roho huku unashabikia watoto na wanawake kuuwawa Gaza.
Binadamu ni binadamu bila kujali dini zao.
Siku nyingine ficha unafiki wako na jali ubinadamu kwanza.
Wisdom is chasing you but you are always faster.Dundee United.

Hawa DRC ni Waafrika ndugu zangu sio waarabu mzombi wa dini mnaokwenda kuchokoza Israel na kujificha nyuma ya watoto.
Leo hii wavaa makanzu mnajifanya kutetea sana waarabu zaidi ya Waafrika wenzenu kisa dini ya mwarabu....upumbavu sana huo.
 
Utakuta mtu anafurahia watu kuuwawa gaza ila anaumia wakongo kweli dini pazia jeusi machoni kwa mwafrika hasa mtz

Kule ni waarabu wanachokoza Wayahudi na kujificha nyuma ya watoto, wapigwe sana tu.
Huku ni ndugu zangu waafrika ambao hawajamchokoza mtu hawana uzombi wa dini ya mwarabu, wanakutwa kwenye mashamba yao na kufukuzwa.
Sijui mnapata ilmu gani nyie na mikanzu yenu.
 
Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.
===================

The M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks, a local official said on Wednesday.

Nyanzale is about 130 km north by road from the provincial capital Goma, and is home to thousands of internally displaced people who fled fighting in surrounding areas.
M23 wanasilaha wanazouziwa na USA kupitia Rwanda
 
Haongelei Ukraine saa hizi kahamia M23.
Kwa sababu wakenya walishindwa anadhani SADC nao watashindwa.

Ukraine ilishashinda kitambo, huyo Urusi mlikua mnamtegemea nyie na makanzu yenu hana lolote, ile kwamba mpaka sasa hajafumua Ukraine licha ya hasara yote aliyoingia..........
 
Wacha unafiki wewe roho gani inakuuma?Una roho gani kwanza wewe?Unajidai kuumwa na roho huku unashabikia watoto na wanawake kuuwawa Gaza.
Binadamu ni binadamu bila kujali dini zao.
Siku nyingine ficha unafiki wako na jali ubinadamu kwanza.
Wisdom is chasing you but you are always faster.Dundee United.
Jeshi lao la kenya lilifukuzwa kule na tshisekedi so baada ya kushindwa kufanya kilichowapeleka wakawa kazi yao kujipiga picha na kupost kwenye social media,so huyo mkenya anavyotaka majeshi mengine yashindwe pia
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mnafiki nambari one

Kule ni waarabu wanachokoza Wayahudi na kujificha nyuma ya watoto, wapigwe sana tu.
Huku ni ndugu zangu waafrika ambao hawajamchokoza mtu hawana uzombi wa dini ya mwarabu, wanakutwa kwenye mashamba yao na kufukuzwa.
Sijui mnapata ilmu gani nyie na mikanzu yenu.
 
Jeshi lao la kenya lilifukuzwa kule na tshisekedi so baada ya kushindwa kufanya kilichowapeleka wakawa kazi yao kujipiga picha na kupost kwenye social media,so huyo mkenya anavyotaka majeshi mengine yashindwe pia

Kule ni waarabu wanachokoza Wayahudi na kujificha nyuma ya watoto, wapigwe sana tu.
Huku ni ndugu zangu waafrika ambao hawajamchokoza mtu hawana uzombi wa dini ya mwarabu, wanakutwa kwenye mashamba yao na kufukuzwa.
Sijui mnapata ilmu gani nyie na mikanzu yenu.
 
Utakuta mtu anafurahia watu kuuwawa gaza ila anaumia wakongo kweli dini pazia jeusi machoni kwa mwafrika hasa mtz
Siyo watu wote wanaoshabikia raia kuuawa Gaza. Mimi ni mkristo lakini nalaani kwa nguvu zote kinachotokea Gaza na nashangaa sana unafiki uliyo duniani wa kuona maelfu ya watoto na watu wasio na hatia wanauawa kwa kisingizio cha kupambana na Hamas.
 
Israel wakisua sua kwenye hivi na kurudi nyuma watafutwa kizazi chote, kuishi ujirani na jamii kama hii ni hatari, pale Gaza panapaswa kufanywa usafi wabaki wapenda amani.

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Wakati General wao alitoka nduki vibaya mno huko huko Congo,majasho mpaka kwenye meno🤣🤣🤣
Generali wa Kenya aliaibisha sana alikimbia vita akasema eti kule kongo anawindwa kuuawa.Vyeo vya kupeana bila sifa shida ndio hiyo Kikilipuka Generali anakimbia uchi na chupi tu

Sasa Generali kaenda vitani kule vitani ni kuuana ufe au uishi .Yeye kaanza kulia lia eti anawindwa kuuawa vitani alipoenda alifikiri kule anaenda kucheza football au netball?
 
Majeshi ya SADC kama yameshindwa kazi bora yaondoke mapema kabla ya kukumbwa na aibu kubwa ya kushindwa. Na kama jeshi la FARDC ni dhaifu kiasi hicho hao M23 watawapiga mpaka Kinshasa wapindue serikali ya DRC. Ni hatari kwa waasi hao kuteka miji
 
Israel wakisua sua kwenye hivi na kurudi nyuma watafutwa kizazi chote, kuishi ujirani na jamii kama hii ni hatari, pale Gaza panapaswa kufanywa usafi wabaki wapenda amani.

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
Hata siku moja sijaunga mkono jinsi Hamas walivyofanya. Tatizo ni Israel ku-over react na kufanya mauaji makubwa kwa watu wasiohusika.
 
Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.
===================

The M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks, a local official said on Wednesday.

Nyanzale is about 130 km north by road from the provincial capital Goma, and is home to thousands of internally displaced people who fled fighting in surrounding areas.
Hilo ni jeshi vamizi la Rwanda linalojiita M23.
 
Ukraine ilishashinda kitambo, huyo Urusi mlikua mnamtegemea nyie na makanzu yenu hana lolote, ile kwamba mpaka sasa hajafumua Ukraine licha ya hasara yote aliyoingia..........
Kenya is a non aligned nation as per our EAC federation,ficha upumbavu wako,we need nuclear power technology and Russians are the go to person .
Again the Chinese wamechange our Shame with infrastructure,that old alliance imetuweka na watu wetu hundreds of years in poverty.Wananchi wetu wanaumia vilio na huzuni kwasababu ya umasikini,njaa n.k
If they loved us they'd have given us the infrastructure,tech etc like they gave South Korea.
Watu kama nyinyi mkwende huko na mfutike.
We are NON ALIGNED ,FULL STOP!
 
Kama una ndugu yako m23 mwambie akimbie asiangalie hata nyuma muda huu huu maaaana🤣🤣🤣🤣,
Namuona Houston Malivika akiwa bussy kuhesabu man down muda sio mrefu
 
Hawa DRC ni Waafrika ndugu zangu sio waarabu mzombi wa dini mnaokwenda kuchokoza Israel na kujificha nyuma ya watoto.
Leo hii wavaa makanzu mnajifanya kutetea sana waarabu zaidi ya Waafrika wenzenu kisa dini ya mwarabu....upumbavu sana huo.
We mbona ilikuwa busy kumtetea Ukraine na kuwaacha ndugu zako hapo DRC?
 
Generali wa Kenya aliaibisha sana alikimbia vita akasema eti kule kongo anawindwa kuuawa.Vyeo vya kupeana bila sifa shida ndio hiyo Kikilipuka Generali anakimbia uchi na chupi tu

Sasa Generali kaenda vitani kule vitani ni kuuana ufe au uishi .Yeye kaanza kulia lia eti anawindwa kuuawa vitani alipoenda alifikiri kule anaenda kucheza football au netball?
@MK254
 
Back
Top Bottom