M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

Natamani nisikie FARDC na washirika wake nao wameteka walau Kijiji.
Sijajua hawa SAMIDRC wanafanya nn kule kama yapata mwezi na nusu lakini bado m23 wanatamba.
Wanaenendelea kuteka maeneo badala ya kupoteza yale walipokuwa wakishikiria kabla ya SADC kuwasili.

Sipendi kusikika wala kuamini ila inabidi tukubali ukweli kuwa M23 na wanaowasaidia wamejipanga kimkakati zaidi ya maadui zao.

Kifupi nashauri kama hao m23 wameshindikana SAMIDRC watoke humor DRC wawaachie wakongomani wenyewe
DRC inabidi wawe makini sana na jeshi la Tanzania,mimi kama siwaamini hivi
 
Hapo Kuna mgawanyiko upi?
Yaani mnakalia mapori ya FDLR ndiyo mnaona mmeshinda?
Si mlikuwa mnakaaa Goma? That's a victory to you?
Mnachekesha sana, jengeni nchi yenu acheni kuwa paranoid.
duh
 
ACHA UNDUMILA KUWILI. WEWE UNAYEFURAHIA MAUAJI WA WANAWAKE NA WATOTO KULE GAZA ETI ROHO INAKUUMA KIHUSU KONGO.
we mxeng , lin hao wagaza au waarabu wameguswa na maswala yenu , watu kama ww hampasw kuachwa na pumz , vichwa vimejaa ujingaaa , unaona ni bora kujali vya jiran wakati vyako vibovu zaid
 
Kabla hujanitukana ulitakiwa uangali post za huyo jamaa yako kuanzia vita vya Ukraine, gaza na sasa Congo. Huyo mtu hana msimamo wala hamaanishi hicho anachosema. Na kama na wewe ni wa aina yake unatakiwa kutulia badala ya kukuruipuka kama kuku aliyekatwa kichwa. Mtu mkomavu huwa hawi na MIHEMKO YA KUTUKANA. Kutukana ni dalili tosha ya uchanga na utoto na ujinga mwingi.
 
Vita ni vita na inapiganwa kadiri ya uwezo na nguvu Ili kumshinda adui. Unafikiri Congo na washirika wake hawapendi kumsogeza nyuma m23 na kuteka ma eneo makubwa zaidi anayoyamiliki?
Au unadhani m23 kuendekeza kujitwalia maeneo zaidi kutoka mikononni mwa majeshi ya serikali ni habari njema?

Kwa Sasa m23 wanamiliki zaidi ya nusu ya Kivu kusini baada ya kuyashinda majeshi ya serikali na washirika wake kila wanapokutana na bado wanaeneelea kusonga mbele Kwa kuteka maeneo zaidi mikononni mwa majeshi ya serikali na washirika wake kitu ambacho ni aibu serikali ya drc

Kutokana na hali hii ya washirika wa Rwanda kuendelea kusonga mbele na wananchi kukosa ulinzi kutokana na kushambuliwa na waasi, Wakongomani wanaonekana kukata tamaa na kupungukiwa na matumaini waliyokuwa awali kuwa majeshi ya SADC yange wafurusha wanyarwanda wa m23 na kuteke maeneo kadhaa yanayoshikiliwa na waasi. Na bado juzi m23 walimudu kulipua gari la kivita la majeshi ya SADC mjini Sake.

Kushindwa kuwashambulia m23 na kubakia kufanya kazi ya kujilinda Kwa kuwazuia waasi wasisonge mbele ni jibu tosha kuwa FARDC na washirika wake wanaheshimu uwezo na nguvu ya m23 kwani sio Ile waliyokuwa nayo awali, Sasa hivi wako more advanced

Hali hii isiyotarajiwa ndiyo imewashtua wakuu wa majeshi wa SADC kukutana mjini Goma wiki iliyopita ambayo Kwa mujbu wa wachambuzi ni kwamba mkutano huo ilikuwa ni kwa ajili ya kujipanga upya kivita baada ya kuonja nguvu ya adui.

Ni matumaini ya Wakongomani kuwa mkutano huo utaleta tija kwenye uwanja wa vita upande wa serikali na washika wake kuliko ilivyo Sasa.
Aisee hawa M23 wa sasa hivi ni Noma sana, wamekaa 10yrs wakijiandaa baada ya withdraw waliyoifanya mwaka 2013, ambayo watu wasiojua wanadai eti ilipigwa vibaya sana na walitegemea kuwa yale ya 2013 yatajirudia tena. Wakati Afande Ayub alipofika Goma alidai amekuja kumpiga M23 haraka sana, eti akisha mmaliza wakubwa watamwambia adui mwingine atakayefuata kupigwa. cha kushangaza tangia aseme maneno hayo sijui amefanya nini kwani badala ya kurudisha maeneo yaliyokuwa yametekwa, ndio kwanza M23 inazidi kuteka maeneo mapya.
Zile mbinu za ku shell sehemu za adui kwa makombola mazito mazito kwa masaa chungu mzima then unatuma ground force kwenda kusafisha hazifui dafu tena. Ground forces za Wazalendo na Burundi kila zikitumwa baada ya shelling hukuta kumbe wanzao bado wako intact na wamefanya re-location hivyo huambulia kibano na kukimbia.
Mkutano wa Makamanda umemalizika bila solution yoyote kwani vikosi vyote ndani ya Goma havina uwezo wa kufanya vita kwani viko kwenye weaker and vurnelable position. Sana sana inabidi waondoe vifaa vyao kwani kuna hatari ya kunyanganywa na M23. Kama unafuatilia hivi sasa hawa waasi juzi wamekamata Rwindi Area, and with it wameweza kuchukua small airport ambayo ndio ilikuwa inatumika kufanya reinforcement kwani Goma airport haiko salama tena. Cha kushangaza Rwindi airport waasi wamejizolea vifaa vingi sana vya Gotv na Sadc, na kwa kuweza kumiliki hii airport inamaana wanaweza kuitumia kwa faida kubwa sana, kuleta silaha, kuuza madini etc. Kwa ufupi japo watu watasema ni ushabiki DRC na washirika wake wooote, hawaiwezi M23 ni lazima wakubali wafanye mazungumzo.
 
Hii mjomba umeitolea wapi vifaa vya sadc kukwapuliwa na hao jamaa
 
Naichukia Rwanda, M23 ,Kagame na watusi wote Dunia.

Swali la msingi la kujiuliza hata kama kweli M23 wanasaidiwa na Rwanda Sasa inakuwaje Muungano wa SADC,DRC,Burundi,Wazalendo, Wegner,FDLR,MONUSCO na makundi mengine karibu 10 wanapambaa !akini bado m23 inayo saidiwa na kanchi kadogo Rwanda bado inawachachafya vibaya.

Kama mapigano yakisimamishwa leo itakuwa aibu sana Kwa SADEC kupigwa na. Rwanda.

Chukulia mfano hata wa msumbiji. Wakati SADEC wakikusanyana kuunganisha nguvu, ye Rwanda aliingia vitani Msumbiji man alone na ndani ya wiki Moja alifanikiwa kuteka ngome ya waasi waliokuwa hatari na wamesumbua muda. mrefu.

SADEC wanaingia Msumbiji wanakuta tayari Rwanda tayari ameshapata matokeo na ushindi mkubwa dhidi ya maadui.

Tuache ushabiki, ila tukubali tu kwamba ukanda huu wa kati na kusini mwa Afrika Rwanda Ina jeshi dogo ila bora lenye umoja,muunganiko,silaha za kisasa na maarifa ya upiganaji katika mazingira youote.

SADEC wanakazi ya ziada Ili waweze kumshinda Rwanda, na yawezeka na muda Kwa Sasa sio rafiki labda miaka ya mbele baada ya kujipanga sana
Umelewa na propaganda za online. Kwa DRC SADC hawajafanya offensive strick mpaka sasa.

Bado wako na deployment na logistics. Note TZ advance team imefika DRC January 26, 2024. Wanafanya assessment zao kumjua adui ni nani ana silaha gani. Na mitindo yake ya mapigano.

M23 walijaribu SADC kuchukua mji wa SAKE mara tatu wakashindwa vibaya. Sasa naenda huko interior na kutwaa vijiji katika kujenga ushwishwi.

Pili SADC ilisimama kutokana na vita ya kidiplomasia kule AU bahati nzuri wameshinda sasa Mission siyo ya SADC tu ni ya Africa nzima na bajeti itakuwa na AU.

Mwanzo tungeingeji mapambano ni nchi zetu hizi zingeghalamia vita ila sasa ni AU na wafadhiri wake watagharamia.

Lakini hadi sasa March 14, 2024 bado kuana diplomatic pose maana Kagame alikua Angola ni kama anatafuta Tactical withdrawal ionekena win win situations.
Naona within few months M23 watajiondoa DRC bila vita, ni jambo zuri maana litaondoa vifo na mateso kwa watu wengi.

La sivyo hii itakuwa vita kubwa sana katika ukanda kuizidi ile ya 2000. Maana Rwanda na Mseveni wanaweza kuingiza Askari na vifaa hata nusu ya majeshi yao.
Hapo ni kama askari 50k. Hiyo SADC inabidi iwe na analau 30K pure SADC jumlisha kam 50k Congolese na Burundi. Hapa inaweza Spill over ikawa direct confrontation ya Tz backed with Sadc Vs UG na Rw.

Mwisho.
Kagame hata koma kuivamia DRC mpaka adundwe kama mbwa koko. Hii itakua kwa muda tu. Period.

Ni wkaati wa kuliwa timing kubwa sana.

Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
 
Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.
===================

The M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks, a local official said on Wednesday.

Nyanzale is about 130 km north by road from the provincial capital Goma, and is home to thousands of internally displaced people who fled fighting in surrounding areas.
Ivi huwa kwann awa reble hawafiki kwa mkuu ndipo waende pembezoni
 
Vita ni vita na inapiganwa kadiri ya uwezo na nguvu Ili kumshinda adui. Unafikiri Congo na washirika wake hawapendi kumsogeza nyuma m23 na kuteka ma eneo makubwa zaidi anayoyamiliki?
Au unadhani m23 kuendekeza kujitwalia maeneo zaidi kutoka mikononni mwa majeshi ya serikali ni habari njema?

Kwa Sasa m23 wanamiliki zaidi ya nusu ya Kivu kusini baada ya kuyashinda majeshi ya serikali na washirika wake kila wanapokutana na bado wanaeneelea kusonga mbele Kwa kuteka maeneo zaidi mikononni mwa majeshi ya serikali na washirika wake kitu ambacho ni aibu serikali ya drc

Kutokana na hali hii ya washirika wa Rwanda kuendelea kusonga mbele na wananchi kukosa ulinzi kutokana na kushambuliwa na waasi, Wakongomani wanaonekana kukata tamaa na kupungukiwa na matumaini waliyokuwa awali kuwa majeshi ya SADC yange wafurusha wanyarwanda wa m23 na kuteke maeneo kadhaa yanayoshikiliwa na waasi. Na bado juzi m23 walimudu kulipua gari la kivita la majeshi ya SADC mjini Sake.

Kushindwa kuwashambulia m23 na kubakia kufanya kazi ya kujilinda Kwa kuwazuia waasi wasisonge mbele ni jibu tosha kuwa FARDC na washirika wake wanaheshimu uwezo na nguvu ya m23 kwani sio Ile waliyokuwa nayo awali, Sasa hivi wako more advanced

Hali hii isiyotarajiwa ndiyo imewashtua wakuu wa majeshi wa SADC kukutana mjini Goma wiki iliyopita ambayo Kwa mujbu wa wachambuzi ni kwamba mkutano huo ilikuwa ni kwa ajili ya kujipanga upya kivita baada ya kuonja nguvu ya adui.

Ni matumaini ya Wakongomani kuwa mkutano huo utaleta tija kwenye uwanja wa vita upande wa serikali na washika wake kuliko ilivyo Sasa.
M23 hawamiliki mji ama kijiji chochote kivu ya kusini. Kama kipo taja.

M23 wako Kivu ya Kasikazini yenye wilaya 5.
Goma
Walikale
Lubero
Masisi
Rutchuru.

Kati ya hizo wilaya tano M23 wako wilaya mbili. Masisi na Rutchuru. Na kati hizi mbili hakuna hata moja wanayomiliki kwa silimia 100. Ni wilaya ya Rutchuru tu ndiyo wana nguvu kubwa. Hii wilaya iko mpakani na Rwanda. Pili Rutchuru kuna vilima sana na misitu ambayo iko linked hadi Rwanda. Hii inawapa advantage nyingi za vita za msituni na cover kubwa ya mashambulizi toka angani.

Hapa ndiko hotbed ya M23.

Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
 
Naichukia Rwanda, M23 ,Kagame na watusi wote Dunia.

Swali la msingi la kujiuliza hata kama kweli M23 wanasaidiwa na Rwanda Sasa inakuwaje Muungano wa SADC,DRC,Burundi,Wazalendo, Wegner,FDLR,MONUSCO na makundi mengine karibu 10 wanapambaa !akini bado m23 inayo saidiwa na kanchi kadogo Rwanda bado inawachachafya vibaya.

Kama mapigano yakisimamishwa leo itakuwa aibu sana Kwa SADEC kupigwa na. Rwanda.

Chukulia mfano hata wa msumbiji. Wakati SADEC wakikusanyana kuunganisha nguvu, ye Rwanda aliingia vitani Msumbiji man alone na ndani ya wiki Moja alifanikiwa kuteka ngome ya waasi waliokuwa hatari na wamesumbua muda. mrefu.

SADEC wanaingia Msumbiji wanakuta tayari Rwanda tayari ameshapata matokeo na ushindi mkubwa dhidi ya maadui.

Tuache ushabiki, ila tukubali tu kwamba ukanda huu wa kati na kusini mwa Afrika Rwanda Ina jeshi dogo ila bora lenye umoja,muunganiko,silaha za kisasa na maarifa ya upiganaji katika mazingira youote.

SADEC wanakazi ya ziada Ili waweze kumshinda Rwanda, na yawezeka na muda Kwa Sasa sio rafiki labda miaka ya mbele baada ya kujipanga sana
Sio kweli Rwanda hamna kitu pale ww...pia Rwanda alienda msumbiji kwa manufaa binsfsi mafuta...

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Something very strange must be done kuilazimisha Rwanda kuiheshimu Congo. siyo wa kuchekewa chekewa.
Nani sasa wakufanya hiyo kazi? Hakuna mtu yeyote anayeweza kumlazimisha Rwanda hayo unayoyafikiria. Iwe Kijeshi iwe ki diplomasia. Lakini kama DRC ikiweza kuwarudisha FDLR wote kutoka Congo au iwanyang'anye uwezo wa kuendesha ugaidi dhidi ya Rwanda. Hapo itakuwa imefanikiwa.
 
Rwanda inajitahidi ili hao SADC hawajaingia kupigana confrontational war na Waasi ila ni kikosi kidogo tu cha SADC kinacholisaidia jeshi la Drc kuzuia waasi kutosonga mbele zaidi.

Isitoshe hao SADC hawajaweka zana zao zote za kivita wala kutumia uwezo wao wote walionao ila ni kama 'supporting role tu' yaani kutoa usaidizi tu japo wanapigana pia.
SADC walishaingia kitamboo, au umesahau ile speech ya Kamanda Ayub? Sema tu ni kwamba wamekuta hari sio ya kawaida, na hata pale walipojaribu kuingiza ile mizinga mizito hari iri badilika ghafra, kwa taarifa yako Mbu ametua kwenye korodani, inabidi diplomasia ndio ifanye kazi kwani hari sio shwari kabisaa. Usishangae SADC kuadili msimamo anytime.
 
Back
Top Bottom