Samahani ndugu, kwani SADC bado hawajaanza kazi hukoooNiKuwachapa Rwanda ni simpo sana chief ndio maana sasa hiv amehamia vita ya kisaikolojia na propaganda. Ngoja mtiti uanze utakuja kuniambia. Hata kipind kile si waliwaacha mpaka walivyopanga vita kichapo kikaanza.
Wacha unafiki wewe roho gani inakuuma?Una roho gani kwanza wewe?Unajidai kuumwa na roho huku unashabikia watoto na wanawake kuuwawa Gaza.
Binadamu ni binadamu bila kujali dini zao.
Siku nyingine ficha unafiki wako na jali ubinadamu kwanza.
Wisdom is chasing you but you are always faster.Dundee United.
Utakuta mtu anafurahia watu kuuwawa gaza ila anaumia wakongo kweli dini pazia jeusi machoni kwa mwafrika hasa mtz
M23 wanasilaha wanazouziwa na USA kupitia RwandaJamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.
===================
The M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks, a local official said on Wednesday.
Nyanzale is about 130 km north by road from the provincial capital Goma, and is home to thousands of internally displaced people who fled fighting in surrounding areas.
M23 rebels seize town in eastern Congo, killing at least 15
M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks.www.theeastafrican.co.ke
Haongelei Ukraine saa hizi kahamia M23.
Kwa sababu wakenya walishindwa anadhani SADC nao watashindwa.
Jeshi lao la kenya lilifukuzwa kule na tshisekedi so baada ya kushindwa kufanya kilichowapeleka wakawa kazi yao kujipiga picha na kupost kwenye social media,so huyo mkenya anavyotaka majeshi mengine yashindwe piaWacha unafiki wewe roho gani inakuuma?Una roho gani kwanza wewe?Unajidai kuumwa na roho huku unashabikia watoto na wanawake kuuwawa Gaza.
Binadamu ni binadamu bila kujali dini zao.
Siku nyingine ficha unafiki wako na jali ubinadamu kwanza.
Wisdom is chasing you but you are always faster.Dundee United.
Mnafiki nambari one
Jeshi lao la kenya lilifukuzwa kule na tshisekedi so baada ya kushindwa kufanya kilichowapeleka wakawa kazi yao kujipiga picha na kupost kwenye social media,so huyo mkenya anavyotaka majeshi mengine yashindwe pia
Siyo watu wote wanaoshabikia raia kuuawa Gaza. Mimi ni mkristo lakini nalaani kwa nguvu zote kinachotokea Gaza na nashangaa sana unafiki uliyo duniani wa kuona maelfu ya watoto na watu wasio na hatia wanauawa kwa kisingizio cha kupambana na Hamas.Utakuta mtu anafurahia watu kuuwawa gaza ila anaumia wakongo kweli dini pazia jeusi machoni kwa mwafrika hasa mtz
Bado mzee watu wapo kwenye position zao. M23 wanacheza na jeshi la Congo muda c mrefu mzigo utaingia kazinSamahani ndugu, kwani SADC bado hawajaanza kazi hukooo
Siyo watu wote wanaoshabikia raia kuuawa Gaza. Mimi ni mkristo lakini nalaani kwa nguvu zote kinachotokea Gaza na nashangaa sana unafiki uliyo duniani wa kuona maelfu ya watoto na watu wasio na hatia wanauawa kwa kisingizio cha kupambana na Hamas.
Ngoja wajipange wakamvamie PKMunaweza kweli,au ndo kujitapa tuu???
Generali wa Kenya aliaibisha sana alikimbia vita akasema eti kule kongo anawindwa kuuawa.Vyeo vya kupeana bila sifa shida ndio hiyo Kikilipuka Generali anakimbia uchi na chupi tuWakati General wao alitoka nduki vibaya mno huko huko Congo,majasho mpaka kwenye meno🤣🤣🤣
Hata siku moja sijaunga mkono jinsi Hamas walivyofanya. Tatizo ni Israel ku-over react na kufanya mauaji makubwa kwa watu wasiohusika.Israel wakisua sua kwenye hivi na kurudi nyuma watafutwa kizazi chote, kuishi ujirani na jamii kama hii ni hatari, pale Gaza panapaswa kufanywa usafi wabaki wapenda amani.
Hilo ni jeshi vamizi la Rwanda linalojiita M23.Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.
===================
The M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks, a local official said on Wednesday.
Nyanzale is about 130 km north by road from the provincial capital Goma, and is home to thousands of internally displaced people who fled fighting in surrounding areas.
M23 rebels seize town in eastern Congo, killing at least 15
M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks.www.theeastafrican.co.ke
Kenya is a non aligned nation as per our EAC federation,ficha upumbavu wako,we need nuclear power technology and Russians are the go to person .Ukraine ilishashinda kitambo, huyo Urusi mlikua mnamtegemea nyie na makanzu yenu hana lolote, ile kwamba mpaka sasa hajafumua Ukraine licha ya hasara yote aliyoingia..........
We mbona ilikuwa busy kumtetea Ukraine na kuwaacha ndugu zako hapo DRC?Hawa DRC ni Waafrika ndugu zangu sio waarabu mzombi wa dini mnaokwenda kuchokoza Israel na kujificha nyuma ya watoto.
Leo hii wavaa makanzu mnajifanya kutetea sana waarabu zaidi ya Waafrika wenzenu kisa dini ya mwarabu....upumbavu sana huo.
@MK254Generali wa Kenya aliaibisha sana alikimbia vita akasema eti kule kongo anawindwa kuuawa.Vyeo vya kupeana bila sifa shida ndio hiyo Kikilipuka Generali anakimbia uchi na chupi tu
Sasa Generali kaenda vitani kule vitani ni kuuana ufe au uishi .Yeye kaanza kulia lia eti anawindwa kuuawa vitani alipoenda alifikiri kule anaenda kucheza football au netball?