M23 ya Rwanda yapata kipigo. Wamekufa viongozi wao muhimu sana

M23 ya Rwanda yapata kipigo. Wamekufa viongozi wao muhimu sana

Natamani ungepata nafasi ya kunifahamu. Pole sana Kamanda wa M23, najua hii habari inaladha mbaya kwako.
Haya tupe wewe habari ya ukweli huko Kitchanga au uko Kiwanja ama Masisi?
Ulituacha njiani kwenye ile story yako.
 
Sasa uko Goma alafu unaripoti mambo ya vita. Acha stori za youtube wewe. Sogea hapa Rutchuru tucheze mdundo wa Karashnakov. Nikupeleke Butembo na béni ukajinyee. We unakaa Goma wanaume wako site. Mwendo mdundo mpaka Kigali
Kigali kagame atawanyonga
 
Narudia tena.....RWANDA AFANYE UJINGA WAKE KWA CONGO NA BURUNDI ILA SIO TANZANIA. asijaribu kuigusa mipaka ya nchi hii....atajuta mbwa huyu.
It takes time ndo maana wanaelekea Congo , Burundi and then Tanzania .mpaka kugusa mipaka yetu maana yake watakuwa wameshakuwa next level .that's why tunatakiwa kuwa proactive .na kumbuka kagame ana modernise jeshi lake at faster rate
 
It takes time ndo maana wanaelekea Congo , Burundi and then Tanzania .mpaka kugusa mipaka yetu maana yake watakuwa wameshakuwa next level .that's why tunatakiwa kuwa proactive .na kumbuka kagame ana modernise jeshi lake at faster rate
M23 awamu hii wameyakanyaga. Wamepigwa vibaya sana katika mji wa Sake mpaka wamekimbia.
 
Sasa si wameshapewa za uso live na CDF? Ndiyo maana tunakwambia hii nchi isikie tu. Na washajua kuwa haiwezekani tena. Upo kwenye kazi unafatilia mambo ya Tanzania watoto wa nao wapo tunakunusa matako tu kila unapokwenda jichangaye sasa. Hii nchi kupenya nguuuumuuu saaaaaaana. Utaingia Kama waliojaribu kuingia lakini nakuhakikishia UTOBOIIIIIII. Waliongia kibiti wako wapi? Mapango ya amboni wako wapi?. Wale wa kigoma walipelekewa polisi tu kwenye mapori kule walipaona Rwanda karibu Kama kuvuka daraja la kigamboni tu.
😄😄 Yani tunamnyakua kama mwewe, tunasepa nae Hadi mawinguni...anapotea like "he never ever existed before"
 
Kagame anawaza vita tu.
Sio mtu wa Amani.
Akumbuke anayeuwa kwa Upanga atauwawa kwa Upanga pia.
 
Jeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo.

Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya Anga dhidi ya Jeshi vamizi la M23, wamefanikiwa kuwaua wanajeshi wengi wa Rwanda wakiwemo makomandoo.

Waliokufa vibaya ni Jeneral André Nyamvumba, huyu ni Mtaalamu WA vita toka Rwanda ambaye amebobea kwenye matumizi ya teknolojia ya IT katika uwanja WA vita.

Mwingine ni Kanali Gaston wa M23 naye Amekufa, Pia Kanali Erasto Bahat naye amekufa.

Walio jeruhiwa vibaya ni pamoja na Jenerali Mulokole na Godefroid Niyombare.

Watusi ni watu hatari sana. Hapa Kuna jambo la kujifunza ili kuwaelewa Hawa Watusi na mikakati Yao.

Ukiangalia katika waliojeruhiwa utaona Jina la mtu mmoja ambaye Alifanya mapinduzi huko Burundi ambayo yalifeli baada ya Tanzania kuingiliwa kati kuyazima.

Huyu Jeneral Godefroid Niyombare alijaribu kumpindua Raia wa Burundi Peter Nkurunziza na kufurushwa na Makomandoo WA Tanzania.

Sasa mtu huyuhuyu Leo anaonekana akiwa kwenye jeshi la Rwanda Bali limevamia Congo.

Utagundua kuwa Kagame ndiye alitaka kumpindua Raia WA Burundi na ndio navuruga amani ya Afrika Mashariki.

Hawa Watusi Agenda Yao ni kuikamata Congo na Burundi Kisha wakipata nguvu ya Uchumi wake kuivamia Tanzania.

Kuwaelewa Hawa watu unatakiwa kufiatilia sana. Pia Jenerali Nyakarundi hajulikani alipo.

Mashambulizi yamefanya na ndihivita za Congo kwa ushirikiano na Makundi ya Wazalendo.

Hongera sana DRC
vita haina faida yeyote, zaidi sana inasababisha vifo tena vya watu wanaoenda moja kwa moja motoni bila hata kuokoka. tuombe amani maeneo hayo. ogopa sana kuishi na kufa katika dhambi, utaenda wapi? motoni au uzimani, basi andaa maisha yako ili utakapokutwa na lolote uwe umeandaa mahali pema pa kwenda. Yesu Kristo ndiye njia kweli na Uzima, hakuna wokovu bila kumkiri na kumpokea yeye, yeye ndiye alimwaga Damu yake kama kafara kwa ajili yako, usisumbuke bure, mtwishe yeye fadhaa shida zako na dhambi zako zote, atakutua.
 
Back
Top Bottom