M23 ya Rwanda yapata kipigo. Wamekufa viongozi wao muhimu sana

Natamani ungepata nafasi ya kunifahamu. Pole sana Kamanda wa M23, najua hii habari inaladha mbaya kwako.
Haya tupe wewe habari ya ukweli huko Kitchanga au uko Kiwanja ama Masisi?
Ulituacha njiani kwenye ile story yako.
 
Sasa uko Goma alafu unaripoti mambo ya vita. Acha stori za youtube wewe. Sogea hapa Rutchuru tucheze mdundo wa Karashnakov. Nikupeleke Butembo na béni ukajinyee. We unakaa Goma wanaume wako site. Mwendo mdundo mpaka Kigali
Kigali kagame atawanyonga
 
Narudia tena.....RWANDA AFANYE UJINGA WAKE KWA CONGO NA BURUNDI ILA SIO TANZANIA. asijaribu kuigusa mipaka ya nchi hii....atajuta mbwa huyu.
It takes time ndo maana wanaelekea Congo , Burundi and then Tanzania .mpaka kugusa mipaka yetu maana yake watakuwa wameshakuwa next level .that's why tunatakiwa kuwa proactive .na kumbuka kagame ana modernise jeshi lake at faster rate
 
It takes time ndo maana wanaelekea Congo , Burundi and then Tanzania .mpaka kugusa mipaka yetu maana yake watakuwa wameshakuwa next level .that's why tunatakiwa kuwa proactive .na kumbuka kagame ana modernise jeshi lake at faster rate
M23 awamu hii wameyakanyaga. Wamepigwa vibaya sana katika mji wa Sake mpaka wamekimbia.
 
😄😄 Yani tunamnyakua kama mwewe, tunasepa nae Hadi mawinguni...anapotea like "he never ever existed before"
 
Kagame anawaza vita tu.
Sio mtu wa Amani.
Akumbuke anayeuwa kwa Upanga atauwawa kwa Upanga pia.
 
vita haina faida yeyote, zaidi sana inasababisha vifo tena vya watu wanaoenda moja kwa moja motoni bila hata kuokoka. tuombe amani maeneo hayo. ogopa sana kuishi na kufa katika dhambi, utaenda wapi? motoni au uzimani, basi andaa maisha yako ili utakapokutwa na lolote uwe umeandaa mahali pema pa kwenda. Yesu Kristo ndiye njia kweli na Uzima, hakuna wokovu bila kumkiri na kumpokea yeye, yeye ndiye alimwaga Damu yake kama kafara kwa ajili yako, usisumbuke bure, mtwishe yeye fadhaa shida zako na dhambi zako zote, atakutua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…