Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Shida ya hii vita iko at our door steps, ni security threat, either tu deal nayo leo or in the future tuingie kwneye conflict kubwa zaidiHii vita haituhusu sisi,Congolese wameamua kuuwana wenyewe tuwaache,hivi ukiwauliza simple question why wanapigana vita sidhani kama wana jibu,rudisha wanajeshi wetu waje walinde hizi porous borders zetu,Mozambique border kuna shida na jeshi la SADC linaondoka,naona RAF wana ichukua vita hii,sisi to hold line yetu ili hii vita isienee kwetu
Bro, nakusihi kajikite kwenye celebrities forums tu, haya mambo yako juu sana ya uwezo wako wa kuyaelewa.Alooh nmestuka, hivi hua wanafata kitu gan huko au ndo uzalendo kinyesi.
Au na wewe ni mwanajeshi, na nilini uliniona celebrity forum au unataka kufaidisha hadhira.Bro, nakusihi kajikite kwenye celebrities forums tu, haya mambo yako juu sana ya uwezo wako wa kuyaelewa.
lugha yako, inaakisi.Au na wewe ni mwanajeshi, na nilini uliniona celebrity forum au unataka kufaidisha hadhira.
Yaani Africa imelaaniwaR.I.P. makamanda wetu, M23 ni cha mda mrefu, kunawatu wanachichea ili waendelee kuchota mali. Wa Congo inabidi waelewe hili amani hailetwi na mtu wa nje
Nmekuelewa mkuu,( vry sorry)lugha yako, inaakisi.
Hufahamu why wanajeshi wanatake charges Congo? Congo ikiwa vitani inatupa mzigo wa wakimbizi. Congo mashariki ikiwa warzone, athari za usalama zinaingia hadi kwetu-ujambazi, utekaji magari and influx ya silaha hasa mikoa ya Magharibi. Congo ikitekwa na hao watu wa Kagame, biashara yetu na Congo itaathirika sana-chain; malori, mahotel, vyakula hadi Bandari Dar. N.k!
Bado unaona ni uzalendo kinyesi?
Hawa M23 wangalikuwa waislam ungalisikia propaganda lkn kwa kuwa akina John kimya"Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC"
Watanzania sio mbumbumbu kama inavyofikiriwa
Tafsiri yake, haina maana kuna Ukweli wowote ule na Tafasiri.
Badala ya kuchochea uhasama, kwanini tusichochee Urafiki?
Yaani hizi nyuzi za Uchonganishi mwisho wake utakuwa ni Vita-sasa utakuwa umefanya nini-Kuongeza Watanzania wengine wafe tu, to what end?