Makorokoro Bondeni
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 1,300
- 1,969
Okay nimekupata mkuuSADEC wamezuiawa kupigana vita huko na mashambulizi ya ndege pia yapigwa marufuku
Lile shambulizi la Jeshi la Tanzania kuwapiga M23, M23 wakaandika barua UN na America naye akaingilia SADEC wakazuiawa kupigana Jeshi la SADEC lipo kati miji ya Sake na Goma hawatoki kwenye hiyo Miji
Wanatoa vifaa kwa jeshi la Congo
Funguka...Hawa M23 wangalikuwa waislam ungalisikia propaganda lkn kwa kuwa akina John kimya
Ndio maana EAC Force ilitaka kuweka Dialogue mbele kwanza ila huyo Raisi wa Kongo alikuwa anaongea tough talking wakati hana Jeshi kwa lengo la kupata kura.
M23 walikuwa wameanza kuliamini Jeshi la EAC na huu mgogoro ungeishia Mezani.
Mlijua Vita ni kucheza kombolela?
Nichangieni nauli niende nikaokoe askari wetu.Majina hayajatajwa.
Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekiri kuwa anawaunga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao.
Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC.
=====
Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye shambulio la kombora lililotokea katika Mji wa Kivu ulio Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Jumuiya ya Ushirikiano ya SADC imethibitisha habari hizo kupitia tovuti yake.
Taarifa ya SADC iliyowekwa kwenye akaunti yake ya mtandao wa X (zamani Twitter) ,ilisema katika shambulio hilo la kombora, wanajeshi wengine watatu wa Tanzania walijeruhiwa.
Askari wa Tanzania ni sehemu ya Kikosi cha SADC kilichopelekwa Mashariki mwa DRC kwaajili ya kulinda amani ikijumuisha pia nchi za Malawi na Afrika Kusini.
Duh! Kule mashariki ya kati WaIsraeli wakiwa wanapewa kila aina ya ushirikiano na Nchi kubwa, wanapigana na, wanachokiita Kikundi cha magaid kwenye eneo kama Temeke(pun intended)Yaani Hamas. Miezi sita ishapita.Ila aibu SADC nchi zote hizo wanapigana na kikiundi kimoja Cha Banyamulenge.
Ad Hominem. Sema wewe ndio huelewi, na kamwe usisite kuomba ueleweshweWe jamaa unachopinga nini hasa mbona hueleweki?
Ukweli ni kuwa Watanzania Watatu wamefariki.
100%Ushauri umekuwa watolewa kwamba ni lazima madai ya M23 yasikilizwe.
Huu mgogoro si wa kuuingilia kichwakichwa ni lazima kuwe na stratejia ya kueleweka.
Kwanza Napenda kutoa pole kwa familia za mashujaa wetu na pole kwa cdf na jwtz kwa ujumla .Na baada ya hapo wataungana na kuoata nguvu zaidi. Watataka Kigoma, Geita, Kagera na Tabora.
Mwezi mmoja uliopita Waziri Biruta wa Rwanda alisema hata Waha wa Tz ni Wanywarwanda
Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
Usipende kutanguliza chuki. Kasome Historia ya M23 ndio uje uongee. Wakati Banyamulenge wanamuingiza kabila madarani mwaka 1997 mbona hizi kelele hazikuwepo?. Leo ndio mnajifanya kuwa na chuki kwa Banyamulenge ambayo ni raia halali wa DRC. Ndio maana hata Katiba ya DRC inatambua uwepo wa Lugha ya kinyarwanda.Haka kanchi kadogo ni kwa nini tusikakomeshe?
Sio kweli.Kama siyo nusu ya wanajeshi wa Tanzania ama robo ni wanyarwanda na viongozi wengi wa Tanzania kwa sasa ni wanyarwanda kazi hipo yetu macho
Mimi mwenyewe nimeshangaa.Mbona mnapenda kusifia Sana wanyarwanda Wana kitu hasa eti jeshi la Tanzania nusu ni wanyarwanda
Unajikuta unajuaaa.Kama siyo nusu ya wanajeshi wa Tanzania ama robo ni wanyarwanda na viongozi wengi wa Tanzania kwa sasa ni wanyarwanda kazi hipo yetu macho
Ndio tatizo la bodaboda Hilo. Tena unakuta huo ujinga wameambiwa na tisi ili kuendelea kufubaza mambo.Mimi mwenyewe nimeshangaa.
Maana yake hiyo nusu ya jeshi la TZ ni majasusi wa Rwanda.
Very interesting.
Msamehe mkuuMbona mnapenda kusifia Sana wanyarwanda Wana kitu hasa eti jeshi la Tanzania nusu ni wanyarwanda
Rwanda refugeesNi wanani?
M23 warudi kwao rwanda,hata fdrl walienda congo kitambo kama m23 tu,lakini mbona fdrl awalalamiki kama wao ni wacongo na tena wengi wamezaliwa congo ila wanajua wako ukimbizini kama walivyozaliwa wengi wa m23Ushauri umekuwa watolewa kwamba ni lazima madai ya M23 yasikilizwe.
Huu mgogoro si wa kuuingilia kichwakichwa ni lazima kuwe na stratejia ya kueleweka.
Achana na chizi yuleMbona mnapenda kusifia Sana wanyarwanda Wana kitu hasa eti jeshi la Tanzania nusu ni wanyarwanda
Hata siyo nusu Jeshi lote la Tanzania ni wanyarwanda hadi mkuu wao.Kama siyo nusu ya wanajeshi wa Tanzania ama robo ni wanyarwanda na viongozi wengi wa Tanzania kwa sasa ni wanyarwanda kazi hipo yetu macho