Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Mboni mimi sijawaona hao polisi au wamejificha vichakani?Ujumbe umefika waliojaa barabarani ni policcm na armoured vehicles zao wakiaminisha watu hiyo ndio amani.
Labda huko Nyamisati polisi hawajaja.Mboni mimi sijawaona hao polisi au wamejificha vichakani?
Mnawatesana viongozi na mamlaka maana hawajui kipi ni kipiTunasubiri ifike usiku tukinukishe mara tatu ya ilivyokuwa mo29
😂 😂 😂 😂 😂 😂Kwa mara nyingine tena, wapigania haki wa Tanzania tumeonesha nguvu yetu kwa watawala haram very clearly.
Hakuna ubishi kwamba sisi hatuna hata manati, lakini (for more than a week now) tumewalaza na viatu na kuwaandamanisha nchi nzima mazafakas wenye bunduki na vifaru. Na hii ni episode one tu kati ya nyingi.
Ujumbe wetu kwa watawala haram bado ni uleule: njia yao haram waliyoichagua kamwe haitawapa peace of mind mpaka wachague njia iliyo njema!
Salute kwenu wapigania haki wa Tanzania popote mlipo!
Pitia page za Policcm mitandao ya kijamii utawaona.Mboni mimi sijawaona hao polisi au wamejificha vichakani?
Vita yeyote inaangaliwa malengo kabla ya vita je , yametimia ? kabla ya siku keyboard warriors wa Jf mlitis mikwara na kutishia sana mtakinukisha ila ajabu mlelala ndani halafu mna claim victory ..Kwa mara nyingine tena, wapigania haki wa Tanzania tumeonesha nguvu yetu kwa watawala haram very clearly.
Hakuna ubishi kwamba sisi hatuna hata manati, lakini (for more than a week now) tumewalaza na viatu na kuwaandamanisha nchi nzima mazafakas wenye bunduki na vifaru. Na hii ni episode one tu kati ya nyingi.
Ujumbe wetu kwa watawala haram bado ni uleule: njia yao haram waliyoichagua kamwe haitawapa peace of mind mpaka wachague njia iliyo njema!
Salute kwenu wapigania haki wa Tanzania popote mlipo!
Yaani Tanganyika bila kujumuika pamoja kujadiliana na kuwajibishana juhudi zozote kusaka ustawi zitayoyoma!Kwa mara nyingine tena, wapigania haki wa Tanzania tumeonesha nguvu yetu kwa watawala haram very clearly.
Hakuna ubishi kwamba sisi hatuna hata manati, lakini (for more than a week now) tumewalaza na viatu na kuwaandamanisha nchi nzima mazafakas wenye bunduki na vifaru. Na hii ni episode one tu kati ya nyingi.
Ujumbe wetu kwa watawala haram bado ni uleule: njia yao haram waliyoichagua kamwe haitawapa peace of mind mpaka wachague njia iliyo njema!
Salute kwenu wapigania haki wa Tanzania popote mlipo!
Nadhani nyie ni vichaa siyo bure polisi wako kazini serikali iko kazini nyie mmeshindwa kujitokeza kuandamana halafu mnadai mmeshinda,kweli?Kwa mara nyingine tena, wapigania haki wa Tanzania tumeonesha nguvu yetu kwa watawala haram very clearly.
Hakuna ubishi kwamba sisi hatuna hata manati, lakini (for more than a week now) tumewalaza na viatu na kuwaandamanisha nchi nzima mazafakas wenye bunduki na vifaru. Na hii ni episode one tu kati ya nyingi.
Ujumbe wetu kwa watawala haram bado ni uleule: njia yao haram waliyoichagua kamwe haitawapa peace of mind mpaka wachague njia iliyo njema!
Salute kwenu wapigania haki wa Tanzania popote mlipo!
Mnawatesa kwa lipi sasa iwapo wako kazini na wanajilipa fedha nyingi tuMnawatesana viongozi na mamlaka maana hawajui kipi ni kipi
Shughuli za kiuchumi hazifanyiki wewe unaleta KEJELI , kwenye Vita watu wanaangalia kukuumiza kiuchumi ndiyo maana Islaeri/US walipiga vyanzo vya umeme irani na wahamasishaji lengo lao ni kusimamisha shughuli za kiuchumi na pia serikali itumie fedha nyingi kuwalipa askari kufanya patrol.TUPO POSTA HAPA MBONA SIWAONI
View attachment 3624289
Kwanza, vita vya ukombozi sio kilimo cha nyanya. Patience na perseverance are must-have tools in your toolkit.Vita yeyote inaangaliwa malengo kabla ya vita je , yametimia ? kabla ya siku keyboard warriors wa Jf mlitis mikwara na kutishia sana mtakinukisha ila ajabu mlelala ndani halafu mna claim victory ..
Mimi binafsi nahitaji ukombozi na sipendi CCM ila tokea day one niliwakataa wanaharakati na harakati zao uchwara sababu hazina mikakati, mbinu wala backup plans harakati zao nzima ziko so disorganized , ndio maana hunikuti nikijisifia Jf kuwa nitakinukisha sababu sipendi unafiki kuchochea watu kitu ambacho siwezi kukifanya wala kuruhusu mtu wa familia yangu afanye . Unakuta mtu wiki nzima anajisifia Jf kukinukisha Leo anakinukisha kitandani kwa style hiyo ukombozi mtaupa vitandani tu.
Kama hasara ya Leo wanaoumia zaidi ni wafanya biashara wadogo mjini huko Mafwele na genge lake ndio kwanza posho imeongezeka ....
Katika maisha yangu, hakuna kichaa ambaye amewahi kuniambia kwamba nina akili. Ningeshangaa sana, kama ungeniambia hivyo!Nadhani nyie ni vichaa siyo bure polisi wako kazini serikali iko kazini nyie mmeshindwa kujitokeza kuandamana halafu mnadai mmeshinda,kweli?
Mwambie pia ukombozi ni hatuaKwanza, vita vya ukombozi sio kilimo cha nyanya. Patience na perseverance are must-have tools in your toolkit.
Pili, mazafakas walituzuia kuandamana, lakini tukawalazimisha wao waandamane. Hili tumelifanya vizuri sana. Kwa zaidi ya wiki moja, mazafakas wamelala na viatu na kuandamana nchi nzima. This is nontrivial.
Tatu, kwenye vita, sio kila ushindi ni ushindi. Unaweza kushinda kwa gharama kubwa kiasi cha kuufanya ushindi wako kuwa defeat, in substance. Kwa mfano, ukishinda kesi ya kuku baada ya kuuza ng’ombe wako, huo sio ushindi. Sasa, ukipenda, waulize mazafakas wa Serikali ya CCM wametumia gharama kiasi gani over the past two weeks kutuzuia sisi tusiandamane. The mazafakas have had a Pyrrhic victory! In substance, washindi ni sisi wapigania haki.