M7/7 Salute kwa wapigania haki wote wa Tanzania popote walipo!

M7/7 Salute kwa wapigania haki wote wa Tanzania popote walipo!

Shughuli za kiuchumi hazifanyiki wewe unaleta KEJELI , kwenye Vita watu wanaangalia kukuumiza kiuchumi ndiyo maana Islaeri/US walipiga vyanzo vya umeme irani na wahamasishaji lengo lao ni kusimamisha shughuli za kiuchumi na pia serikali itumie fedha nyingi kuwalipa askari kufanya patrol.

Ukijua bajeti ya kutishia raia kwa hizo week mbili walizofanya unaweza ukalia.

77 imekosa watu ,wafanyaboiashara hawajaingiza pesa ,serikali imekosa pesa....Serikali hapo imepigwa KO...Haye mengine yanakuja tarehe 8/8 ngoma inaenda hivi Afcon ikiisha mpera mpera mpaka SAMUYA anaachia ngazi.
Cc__ m haotok madarakan kwa maandamano. N vjan kuingia mstini au kujilipua mabom y kujitoa muanga. Ila kujaz kijiz barararan sahau. Izo njia z kuitish maandaman af wat wasiingie barabaran unakwamish uchumi Kizimkazi kazi yake n kukopa kufidishia deni ni kujikwamisha nyie wenyew. Ukomboz n uhawasishaj kwa Wa TZ bdo ipo chini. TZ amkeni
 
Kwa mara nyingine tena, wapigania haki wa Tanzania tumeonesha nguvu yetu kwa watawala haram very clearly.

Hakuna ubishi kwamba sisi hatuna hata manati, lakini (for more than a week now) tumewalaza na viatu na kuwaandamanisha nchi nzima mazafakas wenye bunduki na vifaru. Na hii ni episode one tu kati ya nyingi.

Ujumbe wetu kwa watawala haram bado ni uleule: njia yao haram waliyoichagua kamwe haitawapa peace of mind mpaka wachague njia iliyo njema!

Salute kwenu wapigania haki wa Tanzania popote mlipo!
Wanasema nchi ina amani alafu kila junction umeweka polisi 10 au zaidi wenye silaha nzito, muda wote standby kama vita na magari mpaka ya zimamoto. sasa amani iko wapi hapo kama serikali na viongozi wake wote wanajiamini kuna amani wawaache watu wawakosoe na kutoa ya moyoni kwa maandamano. ipo siku watu watachoka wataona heri kufa tu na hapo itakuwa mbaya sana
 
Cc__ m haotok madarakan kwa maandamano. N vjan kuingia mstini au kujilipua mabom y kujitoa muanga. Ila kujaz kijiz barararan sahau. Izo njia z kuitish maandaman af wat wasiingie barabaran unakwamish uchumi Kizimkazi kazi yake n kukopa kufidishia deni ni kujikwamisha nyie wenyew. Ukomboz n uhawasishaj kwa Wa TZ bdo ipo chini. TZ amkeni
umesema hivi nimewawaza M23 na bokoharam 😂
 
Back
Top Bottom