Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Unatumia kilevi gani? Yaani mtu akushauri kitu gani sasa? Weka tatzo lako hapa ushauriwe na si kuvuta mibangi na kukimbilia kuanzisha uzi.Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Mimi sio 35+ ila nakushauriMa brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Mkuu hapo umeongea jambo la msingi sana nitalizingatia piaMimi sio 35+ ila nakushauri
Tafuta pesa. Usijiingize kwenye mahusiano kama huna pesa au bado unajitafuta. Huo ndio ushauri pekee nakupa.
Mmewmambiwa mjiunge VETA,mmekuwa wakali!Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Baba Yako hakukupa huo ushauri?Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Dont rush toward mafanikio, takenyour time. Usimuogie mtu kila mtu ana path yakeMa brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Huyu na kabusholi atakuwa Ndio mwenyewe Lukas Mwashambwa!Uta shangaa Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah nao wana kuja kuji fanya waalimu, aisee hatu taki
View attachment 3276425
I hope you mean no malice to nobodyUta shangaa Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah nao wana kuja kuji fanya waalimu, aisee hatu taki
View attachment 3276425
Achaneni na wanawake matapeli, msikimbilie kufunga pingu za maisha na mwanamke tu eti kwa kigezo ana tako na ni mrembo, tafuteni fursa mbalimbali nnje ya mipaka ya nchi yenu , kama hauvunji sheria za nchi na kutweza utu wa mtu usiogope chochote , hata hicho kingereza chako cha ugoko unaweza vimba nacho kikakukutanisha na fursa za maana tu........ itaendelea