Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,421
- 30,962
Hizi Hazitoki Kwa Msaada Wa US (Mabeberu)
Hizi anatoa bi mkubwa. Upige mwingi na maza.
Hizi Hazitoki Kwa Msaada Wa US (Mabeberu)
Wewe tlatla ushauri wako naomba vijana waupuuze tu bwashee.acheni uvivu, kukata tamaa na kuchagua kazi sana.
kuthubutu na kusitasita kwenu katika kuamua na kuchukua maamuzi magumu, ndiko kumewafanya mpaka leo na umri wenu huo mue hivyo mlivyo wakati under30 wanatusua maisha na wamewazidi kila kitu dah!
inauma ila bado hamjachelewa, you can make yourselves great again my friends, ladies and gentleman![]()
Dah ona Sasa ume kuja kujibu ujinga wako, we mwenyewe chawaacheni uvivu, kukata tamaa na kuchagua kazi sana.
kuthubutu na kusitasita kwenu katika kuamua na kuchukua maamuzi magumu, ndiko kumewafanya mpaka leo na umri wenu huo mue hivyo mlivyo wakati under30 wanatusua maisha na wamewazidi kila kitu dah!
inauma ila bado hamjachelewa, you can make yourselves great again my friends, ladies and gentleman
😂😂Hizi anatoa bi mkubwa. Upige mwingi na maza.
Sawa mkuuHehe, watoto ndo alama zetu mojawapo muhimu tutakazoacha. Usichelewe saaana kupata watoto.
Upo sahihi kabisa mkuuKinachotuponza vijana wengi ni kwenye kukosa Maarifa sahihi
Yule bado kinda kwangu, mkuu Kama pambano lipo aibuke apasuke😂Ulipewa ushauri juzi unakumbuka?
Lakini ulivyo jeuri na kukosa adabu ukatishia kumpiga Mazeru Master wa Karate.
Naam, haya ma brother wana tema cheche, tuelewe kwa makini.Kinachotuponza vijana wengi ni kwenye kukosa Maarifa sahihi
Ngoja tuone
Sahihi kabisasiku zote usiwe mwepesi wa kukata tamaa.
Kikubwa mapambano yaendelee, wana sema juhudi hazi shindi kudraMaisha kuna kupata na kukosa.Kwenye hayo mawili tegemea
Ooh Sawa SawaHizi anatoa bi mkubwa. Upige mwingi na maza.
Nionyeshe wapi Kuna kanuni kuwa uzeeni una husiana na mafanikio?Hapo tayari ushafeli maisha amini utoboi
35 si bado wapiga nyeto tu🤣🤣
Tuulize sisi 60+
Life uwezi kupangia tmia hiyo kanuniKikubwa mapambano yaendelee, wana sema juhudi hazi shindi kudra