Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀
Gentleman,Dah ona Sasa ume kuja kujibu ujinga wako, we mwenyewe chawa

1: Kamwe usimuamini mwanamke kuhusu uchumi na afya ya akili inategemeana ukizingatia hiliMa brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Cha kuongezea hapo kwenyeAge is nothing but a number
Hustle
Work hard & smart
Spread positive Energy
Love money but spend it wisely
Health is wealth don't ruin ur health , mantain physical exercises , balance diet .
Enjoy, because life is about balance.
Yan baba mkwe, unaniambia niendelee kupiga nyere* na huu umri wangu miaka 35 kweliKama hauna mwanamke wa kueleweka vijana mnaojitafuta bora mpige puchu tu, kuliko kuwa na manzi ukiomba namba yake tu gesi inaisha , nywele zake zifumuka na mama yake anameza shoka.
Kama una akili timamu na unatumia vinywaji changamshi wewe kukutana na watu wa maana na connection za kibabe ni rahisi sana, mchana tupia mavazi yo yoyote ila ukitoka viwanja lipuka kiheshima , na usikose vipesa vya kununua vinywaji vya quality hata kama ni henkein tupia tu kimtindo huongeza thamani.
Ukiwa viwanja kanuni ya wapiga puchu hawashoboki kizembe kwa totozi yeyote , hapo unang'oa points zote tatu, halafu vimba kama kidume acha kulamba lips ........itaendelea
Miaka 35 unaona mingi kwakuwa mnakula na kulala bure kwa shemeji, siku mkianza kujitegemea mtajua 35 ni namba tu !Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Maana yake usiingie kwenye committed relationship, yaani ile kubeba wajibu wa baba au mume kwenye mahusiano. Kaa kijanja janja yaani ile kula kimasihara, one night stand, ile demu akokiletea mizinga unaipangua kidiplomasia na mambo kama hayoSasa mkuu, wakati huu unafanya nini? Haja unamalizaje?
Igwe mkuu! 🙏I got your pointMaana yake usiingie kwenye committed relationship, yaani ile kubeba wajibu wa baba au mume kwenye mahusiano. Kaa kijanja janja yaani ile kula kimasihara, one night stand, ile demu akokiletwaamea mizinga unaipangua kidiplomasia na mambo kama hayo
Mkipata vihela baada ya kumpiga muhindi huo ushauri wenyewe huwa mnauzingatia sasa.Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Uzi wameitwa mabroo, wewe mama umefata nini hapa.1. Jali afya yako sana.
a) Tumia zana kwa kila tendo.
b) Usitumie bangi, sigara, au mihadarati
c) Tunza afya ya akili kwa kujiweka mbali
na mtu au chochote cha kukuvuruga
d) Usipige nyeto
e) Fanya mazoezi uwe fit
2. Fanya kazi yoyote ya halali kwa nguvu zako zote na maarifa yako yote.
3. Tunza kibunda chako kwa kuwekeza zaidi.
4. Kama unasoma soma kwa bidii zote. GPA kubwa ni muhimu.
5. Kama kuna uwezekano wa kuoa bila kuleta changamoto yoyote ya kiuchumi OA. KUOA MAPEMA NI BORA ZAIDI KULIKO KUCHELEWA.
6. Fuata njia zako mwenyewe. Usiangalie watu wengine wanavyofanya.
7. Waheshimu watu wote bila kujali rika, elimu, hadhi, utajiri, umaskini au lolote lile.
8. Jizuie kupanda bodaboda kadiri uwezavyo.
9. Sio muhimu sana ila jitahidi uwe na Passport pamoja na kadi ya uanachama CCM.
10. Wakosee watu wote ila chunga sana kutowakosea wazazi wako (baba na mama). Ikitokea umeteleza haraka sana waombe msamaha.
I got your point sipo mbali kwenye kula kimasihara! Message za vizinga. Huwa najibu tu okay Ila waga sitekelezi maombi yao mfano HuyuMaana yake usiingie kwenye committed relationship, yaani ile kubeba wajibu wa baba au mume kwenye mahusiano. Kaa kijanja janja yaani ile kula kimasihara, one night stand, ile demu akokiletea mizinga unaipangua kidiplomasia na mambo kama hayo
Kaka nyero huwa haina kipengeleYan baba mkwe, unaniambia niendelee kupiga nyere* na huu umri wangu miaka 35 kweli