Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Unaongea vitu vya ajabu ambavyo kwa dunia ya kwanza ni ujinga tu
Gentleman,
ikiwa ni unaona ni ujinga basi ng'ang'ana kuwachangia kwa tone tone hao matapeli wa kisiasa ili wanywe wisky kwa wingi na nyama choma vizuri, na wewe uendelee kua mnyonge wa kiuchumi na mwenye matumaini hewa, eti siku moja watakuja kukusaidia ili hali wanakuchochea ususi michakato ya kidemokrasia?

hiyo ni akili kweli hata wewe ukipima? si utapeli kabisa huo

uvivu na umaskini wa fikra ni kitu mbaya sana aise :NoGodNo:
 
Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.

Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.

Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.

I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Jiingize kwenye mapenzi kwanza ndipo utafute Pesa kwa sababu akupendaye kwa dhiki ndiye mpenzi wa kweli😄
 
Gentleman,
ikiwa ni unaona ni ujinga basi ng'ang'ana kuwachangia kwa tone tone hao matapeli wa kisiasa ili wanywe wisky kwa wingi na nyama choma vizuri, na wewe uendelee kua mnyonge wa kiuchumi na mwenye matumaini hewa, eti siku moja watakuja kukusaidia ili hali wanakuchochea ususi michakato ya kidemokrasia?

hiyo ni akili kweli hata wewe ukipima? si utapeli kabisa huo

uvivu na umaskini wa fikra ni kitu mbaya sana aise :NoGodNo:
Kaka huwa nafurahia sana michango yako ilivyo kaa kichawa chawa tu😁😁
 
Wewe superfeo akikusikia🤣Yani umiliki basi 50 alafu usiroge, do you know road logistics competition lakini huu ni mfano
unafurahia nini sasa gentleman na utajiri wa kitumwa kutwa kucha hirizi kiunoni? :pedroP:

ukisahau tu kuvaa hirizi inakua tatizo.

hivi Mungu unaweza kumsahau nyumbani kweli na ukafika ofisini kwako, ndio ukakumbuka kwamba umemsahau Mungu nyumbani urudi sasa ukamchukue na kujifunga kiunoni?:pedroP:

kwahiyo kuna kuinjoy kweli kuangamiza mzazi au kumfanya mtoto wako ndondocha? utajiri gani sasa huo gentleman?
 
Tumuulize mzabzab kijana mwenye ubamia wa miaka 46(nimenukuu yeye ndo huwa anajisema ni mbamia)
1) usichelewe kuanza kugegeda, mwenzenu nilianza na mia 25 katika ushamba wa mbususu ndio nikapata hiv
2) tafuta hela kwa nguvu zote na hakiisha hela hiyo unatumia kula mbususu
3) wanawake wote ni kenge na ni chombo cha starehe.
ukiwa na pesa wee just confuse them (wachanganye). Ukikosa watamukwepa kama ukoma.
4) mwanamke ni kenge asiekuwa na upendo wala shukran. Weka ndani at ur own peril.
5) usiache mwanamke kwa sababu amechepuka. Huo utoto hamna mwanamke mzuri asiechepuka. Muhimu anakupa mbususu na ikiwezekana mkaribishe huyo njemba nyingine mgonge 3some. There is something u will learn, ego aside plz.
6) kuajiriwa ni ungese ila fanya juu chini ukiajiriwa boss wako awe mzungu au mjapan. Hawa ndio waajiri wa kweli. Mwafrica muhindi mwarabu tunafanya kazi kwa sababu ya umaskini.
 
Kaka huwa nafurahia sana michango yako ilivyo kaa kichawa chawa tu😁😁
kwanza sihusiki,
lakini pia sibabaiki kabisa na dhana potofu ambazo kabisa hazina athari yoyote kisiasa au kijamii kwangu binafsi nadhani hata kwa wadau wa JF,

ila ile kitu ambayo iko ndani yangu,
ni moyo wa kujitolea bila kujibakiza karama na vipawa ambavyo Mungu amenipatia bure kwa mawazo na matendo kwa manufaa ya wengine.

uvivu ni adui mkubwa wa ujenzi wa Taifa, kama vijana tuongeze bidii katika kufanya kazi huku tukimtanguliza na kumtegemea Mungu katika kila hatua tueipitayo :NoGodNo:
 
Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.

Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.

Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.

I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
Kuwa na asira ya maisha kama bdo upo kwa wazaz ondoka ukapange mtaa mwngne ili uwe na akili ya kusave pesa,kwann bs na kuambia ukapange ili uslale mwsho wa mwez unaitajka kulipa kod bili ya umeme maji, n.k alaf tafuta pc kali inayo jielewa inayo kupa changamoto ya maendeleo fungua akaunt au kuwa na lain ya m pesa ya kueka pesa kla sku kwa malengo yako bnafs, jarbu kuwa na michezo au vkund vya kimaendeleo uspende matambo na kuongelea mamb yako ya msingi mbele ya kadamnas ya watu kuwa sriaz kama unaomba mzgo kwa demu
 
unafurahia nini sasa gentleman na utajiri wa kitumwa kutwa kucha hirizi kiunoni? :pedroP:

ukisahau tu kuvaa hirizi inakua tatizo.

hivi Mungu unaweza kumsahau nyumbani kweli na ukafika ofisini kwako, ndio ukakumbuka kwamba umemsahau Mungu nyumbani urudi sasa ukamchukue na kujifunga kiunoni?:pedroP:

kwahiyo kuna kuinjoy kweli kuangamiza mzazi au kumfanya mtoto wako ndondocha? utajiri gani sasa huo gentleman?
Una uhakika hujawahi fanya ulozi🤔(maana si kila alitajaye jina la Mungu atauona ufalme wa mbinguni)
 
Kuwa na asira ya maisha kama bdo upo kwa wazaz ondoka ukapange mtaa mwngne ili uwe na akili ya kusave pesa,kwann bs na kuambia ukapange ili uslale mwsho wa mwez unaitajka kulipa kod bili ya umeme maji, n.k alaf tafuta pc kali inayo jielewa inayo kupa changamoto ya maendeleo fungua akaunt au kuwa na lain ya m pesa ya kueka pesa kla sku kwa malengo yako bnafs, jarbu kuwa na michezo au vkund vya kimaendeleo uspende matambo na kuongelea mamb yako ya msingi mbele ya kadamnas ya watu kuwa sriaz kama unaomba mzgo kwa demu
Point tupu Ila kwenye pisi kali uongo
 
kwanza sihusiki,
lakini pia sibabaiki kabisa na dhana potofu ambazo kabisa hazina athari yoyote kisiasa au kijamii kwangu binafsi nadhani hata kwa wadau wa JF,

ila ile kitu ambayo iko ndani yangu,
ni moyo wa kujitolea bila kujibakiza karama na vipawa ambavyo Mungu amenipatia bure kwa mawazo na matendo kwa manufaa ya wengine.

uvivu ni adui mkubwa wa ujenzi wa Taifa, kama vijana tuongeze bidii katika kufanya kazi huku tukimtanguliza na kumtegemea Mungu katika kila hatua tueipitayo :NoGodNo:
Kaka wewe bado una pesa chache sana ila nakuunga mkono kwa michango yako mbalimbali
 
Back
Top Bottom