Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Mtoto akililia wembe mpe,Kua uyaone mwenyewe utajua kuzaa au kutozaa ni kipi deal pale kipara kitatoka kwa ada za EMS na kutoa kitambi cha stress na mkeo kutoa matako makubwa na kujaa mafuta hata dudu yake inakuwaje search now or later
Duh haujaeleweka mkuu, au Umesha piga 2-3 😁😂
 
Miaka 35 unaona mingi kwakuwa mnakula na kulala bure kwa shemeji, siku mkianza kujitegemea mtajua 35 ni namba tu !
Mkuu kwanza get your facts right, mimi sili kwa shemeji au wazazi.

Hustle nime Anza toka nikiwa 18 mzee, nyumba yangu ya kwanza nime ipata kabla ya kufikisha 21.

Nina harakati kadhaa, zinazo saidia uchumi wangu kwenda vyema.
 
1: Kamwe usimuamini mwanamke kuhusu uchumi na afya ya akili inategemeana ukizingatia hili

2:Epuka makundi ikibidi uishi kama upo kwenye kisiwa hata kivuli chako usikiamini ila usijiweke wazi maana shetani wa mtu ni mtu

3: Mungu yupo ridhika na maisha usiwake tamaa, jikubali , msiigize maisha hakika ishi maisha yako

4: Hakuna mtu atakuwekea hela ya bure mfukoni au kukupa chakula cha bure pambana jipatia hata kidogo chochote kitu halali

5: Usikope kumbuka ukikopa unakua mtumwa wa anaekudai amini kwenye haba na haba hujaza kibaba ishi kwa kudunduliza

6: Usichelewe kuoa na ukioa ishi na mkeo kama dada wa kazi ila usimuonyeshe maana watoto atakao kuzalia ndiyo ndugu zako halali na wakati mwingine watatumika kukuangamiza

7: Kamwe usieleweke kwa mtu yeyote yule na siku zote usiwe mjuaji kua mtu wa kujifunza kila siku. Pia kua mwepesi wa kusikia lakini mzito wa kutoa majibu / ushahidi

8: Maisha ya mwanaume ya uzeeni ni ya tabu sana jenga maisha yako ya uzeeni sasa hata kama utakufa kesho ili uje kua hadithi nzuri
Barikiwa Sana mkuu, mawazi mazuri haya.
 
But kwenye uhalisia kibongo bongo ama east Africa vijana under 28 kumiliki Ata IST ni wachache kwenye kumi mmoja

Mimi nakumbuka wakati tunasoma Chuo mdogo alikua na miaka 21, lakini darasa lile zima watu 400,mwenye gari alikua mmoja tu 🤔tena Vits can u imagine that

Sasa hapa tuzungumzie uhalisia maana tuliopo hapa wengi ni above 24 mzee 🤣kuanza kusema utafakaniwa at 18 imekaaje hiyo

Mwisho kabisa naunga hoja, mafanikio hayana umri sahihi,

👉Vijana "Tujifunze kuwa mbele ya muda"

Vijana tuna mission nyingi lakini hatuna "vision" tunatamani kila linalokuja mbele which is right but, kuisimamia vision moja ni muhimu sana
mkuu gari ni mafanikio makubwa Sana kwako?, maana una penda kutolea reference sana 🙄
 
Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.

Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.

Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.

I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424

Kamwe, usimpe mwanamke moyo wako wote, usiache cycle ya watu wako baada ya kuoa, Usimwamini mwanamke, ukioa usikimbilie kuzaa; ukiweza usioe!
 
📌📌📌📌Kama unajiweza miliki ndiga/kiberiti chako mapema hata vits au ractis au buti la jeje RUMIO. Huwezi kuja kulialia mapenzi hapa jamvini🤝🤝🤝

📌📌📌Ushauri mwingine ili uishi maisha marefu usipende kutembelea rimu wala kupima oil kizembe.UKIWEZA MILIKI VILE VIDUDE VYA KUPIMIA UKIMWI NA KASWENDE ( DUO RAPID TEST).


NAWASILISHA🤝
 
Kamwe, usimpe mwanamke moyo wako wote, usiache cycle ya watu wako baada ya kuoa, Usimwamini mwanamke, ukioa usikimbilie kuzaa; ukiweza usioe!
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
 
Back
Top Bottom