mafanikio mtu kutokana na bidii, uaminifu, neema na baraka za Mungu hudumu sana na daima huambatana na furaha na amani maisha yote,
ukijichanganya kutumia ndumba, ramli na ushirikina kwasababu ya uvivu na tamaa zako za mafanikio bila kufanya kazi, utaishia kudhulumu uhai wa miongoni mwa wanafamilia yako na hatimae utaishi maisha ya hofu na yasiao na amani wala uhakika wa kesho maisha yako yote.
ushirikina ni kitu mbaya sana ambayo wavivu hupendelea kuitumia kama njia ya mafanikio.
Mwenyezi Mungu akuepushe na roho ya ushirikina gentleman