sawa gentleman,
ila kaa ukijua hua sikoseagi kushauri vijana kabisa,
na sipendi kijana afikie ile hatua ya life forces eti ndio aanze kujitafuata. Hua inasikitisha, inafedhehesha na kukatisha tamaa sana aise, hadi huruma....,
anyway,
ikikupendeza,
we kuwashauri waungane na wale vibaka wa kisiasa no reform no elections, huku pia wakiwa wanatapeliwa kidigitali pesa zao kidogo kwa kampeni ya mchongo ya tone tone,
kwakweli watajikuta wamekua na maisha magumu na ya kimaskini zaidi huku, hao vibaka wa siasa wakiendelea kunywa wisky na kufakamia nyama choma kwa wingi kwa furaha sana,
Na si unajua tena chairman mpya anavyopenda spirit? nyagi na wisky plus nyama choma? hapendagi usumbufu kabisa