Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.

hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.

Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa.

I mean no malice to nobody.
View attachment 3276424
1.kitu cha muhimu kutafuta ni afya Bora,physica,psychological,social
2.Kitu Cha pili cha kutafutq ni maarifa sahihi kuhusu kutafuta pesa,yaani hata kama umeajiriwa serikalini usiende kusoma kuwatishia wenzako,nenda kusoma ili uongeze income,opportunity etc
3.ukimaliza na hayo hapo juu tafuta familia ya mke mmoja,aliye bikiria.
Ni pimbi tu ,ataenda kutoa mahali kwa mwanamke aliyekwisha tumika na wenzake,Binti amepigwa blowjob za kutosha hostel huko, wewe unaenda kumpigia magoti,acha huu ufala
4.Uwekezaji,hata ulipwe milioni 20,ama ufanya biashara update faida ya milioni 100,kama hauwekezi kwenye Bonds,real estate,Stocks,Kuna siku utakuja kua masikini tena ombaomba mkubwa sana
5.ukifanikiwa kupata watoto walee ili waje wapambane na Dunia,na sio uwalee kwa kuwarahisishia changamoto za Dunia
Ukifanya hayo hapo kabla haujafika 35 utaweza kutatua 95% ya matatizo ambayo vijana na wazee huyapata
 
Uta shangaa Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah nao wana kuja kuji fanya waalimu, aisee hatu taki
View attachment 3276425
acheni uvivu, kukata tamaa na kuchagua kazi sana.

kuthubutu na kusitasita kwenu katika kuamua na kuchukua maamuzi magumu, ndiko kumewafanya mpaka leo na umri wenu huo mue hivyo mlivyo wakati under30 wanatusua maisha na wamewazidi kila kitu dah!

inauma ila bado hamjachelewa, you can make yourselves great again my friends, ladies and gentleman :pedroP:
 
1.kitu cha muhimu kutafuta ni afya Bora,physic,psychological,social
2.Kitu Cha pili cha kutafutq ni maarifa sahihi kuhusu kutafuta pesa,yaani hata kama umeajiriwa serikalini usiende kusoma kuwatishia wenzako,nenda kusoma ili uongeze income,opportunity etc
3.ukimaliza na hayo hapo juu tafuta familia ya make mmoja,aliye bikiria.
Ni pimbi tu ,ataenda kutoa mahali kwa mwanamke aliyekwisha tumika na wenzake,Binti ampigwa blowjob za kutosha hostel huko, wewe unaenda kumpigia magoti,acha huu ufala
4.Uwekezaji,hata ulipwe milioni 20,ama ufanya biashara update faida ya milioni 100,kama hauwekezi kwenye Bonds,real estate,Stocks,Kuna siku utakuja kua masikini tena ombaomba mkubwa sana
5.ukifanikiwa kupata watoto walee ili waje wapambane na Dunia,na sio uwalee kwa kuwarahisishia changamoto za Dunia
** Ukifanya hayo hapo kabla haunafika 35**,utaweza kutatua 95% ya matatizo ambayo vijana na wazee huyapata
Kinachotuponza vijana wengi ni kwenye kukosa Maarifa sahihi
 
Back
Top Bottom